Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah ila Man u wamechoka yani, eti wanajibembeleza hadi kwa Sesko kisa Newcastle, Gyokeres amewaumiza mno, usishangae Sesko akawasanifu afu atimkie Newcastle ili baadae ajiunge timu bora.
 
Gyokeres kwa MAN U ni kama mwanaume mwenye hela kumkataa demu mbaya, sasa kwa Sesko man u wanajikomba ni kama demu low IQ kumwambia mwanaume mwnye hela na smart kuwa ukinioa ntakupikia, ntakufulia n.k wakati mwanaume huyu ametanguliza brain kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…