Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1. Arsenal
2.
3.
4
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15. Nyumbu
16.
17.

Tutapiga kila atakae simama mbele yetu alafu kombe tutawapa nyumbu
chat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt

inatabiri crown arsenal
 

Attachments

  • Screenshot_20250728-150630_ChatGPT.jpg
    239.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20250728-150904_ChatGPT.jpg
    259.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250728-151349_ChatGPT.jpg
    238.4 KB · Views: 5
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu na Hauhitaji ramli au tabiri za wanajimu wakuambie kwamba msimu huu arsenal ni shida

View attachment 3421694
Ni kweli kabisa ndugu yangu mkorea Mpira ni mchezo wa wazi na wala hauhitaji ramli au tabiri za wanajimu wakuambie msimamo wa ligi 2025/2026 utakua kinyume na hivi.

1.
2. Arsenyo
3.
4.
5.
6.
 
Arseanal wajanja sana, yaani wao ukishachukua medali za makombe mbalimbali basi wao wanakuchukua kidogo waweke kwenye kumbukumbu zao...washachukua madueke na CWC medal, harvets na uefa medal, Glock na Portugal medals, zubmend na uefa nation league medal.

Oya arteta akili sana, arteta akili mingi mingi
 
Usisahau na kombe lao la Pre-season tayari wameshabeba, hivyo Tetea Kiwigi hana deni lolote kwa mashabiki wa Arsenyau.
 
COYG
Jamaa me nawasifu...na hamis karud kutoka Zurich alikuwa Kwa mkopo na mwenzake mkorea
hamis77 anakwambia kwa sasa yuko bize sana na taasisi yake ya Masingeli Integrated Investment Co. LTD
Unaweza kumuona yupo online kumbe anayeendesha akaunti ni Secretary au Supervisor wake.

Kwa sasa mwamba yuko bize sana na majukumu ya kujenga Taifa


Anasema kwa sasa hili jukwaa amewamilikisha chawa zake mkorea na arsenal2004 waendeleze false hope.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Arsenal inadhihirisha uwepo wa Mungu...yaani jamaa Wana furaha na makombe hawachukui, Mungu kawabariki mioyo ya ajabu sio kama sisi binadam wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…