King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,318
- 5,996
Acha basiWe are cooking slowly but sure mkuu.
Unaambiwa Gyokeres alikuwa anataka kujileta matofalini, Amorin akamwambia haendani na mfumo anaotaka kuutumia msimu huu, ndio jamaa kukomaa na arsenal uko.
Hizo ni za ndani sana mkuu tena tangu february na zilizimwa haraka ili kumtunzia heshima jamaa.Acha basi
Yale yale mambo ya Trent yatatukuta. Tumeona tujitahidi kutafuta mwingine mapema.Humu ndani mna taarifa za Saliba kuitaka Madrid au mnajisahaulisha tu?
Ujio wa Mosquera ni replacement ya Saliba kama mlikuwa hamjui, tafuteni taarifa zaidi.
Mimi niliambiwa jamaa alitaka sana kuja kucheza na Amorim ila ile fainali ya Europa aliyoshinda Spurs ikaharibu kila kitu.We are cooking slowly but sure mkuu.
Unaambiwa Gyokeres alikuwa anataka kujileta matofalini, Amorin akamwambia haendani na mfumo anaotaka kuutumia msimu huu, ndio jamaa kukomaa na arsenal uko.
Mjitahidi sana msimu huu kutokumaliza ligi kwa kuitwa Netflix arsenal. Msimu mpya wa ligi ukianza mjue mpinzani wenu mkubwa ni Liverpool na isak keshawambia Newcastle management kuwa anataka kwenda Liverpool.Tumevuta chums kingine kutoka Valencia kinaitwa Christhian Mosquera
Liverpool itakuwa yamoto sana msimu ujao. Tutaenjoy sana kuwafunga.Mjitahidi sana msimu huu kutokumaliza ligi kwa kuitwa Netflix arsenal. Msimu mpya wa ligi ukianza mjue mpinzani wenu mkubwa ni Liverpool na isak keshawambia Newcastle management kuwa anataka kwenda Liverpool.
Kwa hiyo amekuja Arsenal kushinda Champions legue? Kwenye medical check up, mlimpima na akili?Mimi niliambiwa jamaa alitaka sana kuja kucheza na Amorim ila ile fainali ya Europa aliyoshinda Spurs ikaharibu kila kitu.
Jamaa anataka Champions League na umri unazidi kwenda... 😀 😀
Akaona bora Arsenal.
Tetesi ni nyingi ila nafikiri yeye amependa tu kumalizia soka lake akiwa Arsenal.
Hizi story za Saliba kuhusishwa kuondoka nyie mmezitoa wapi?Tukiangalia kwa mbali ni kama saliba alishafanya maamuzi ya kuondoka.
Maneno ya mtaani ni kuwa alitamani kuendelea kushiriki Champions League. Kushinda ni majaliwa.Kwa hiyo amekuja Arsenal kushinda Champions legue? Kwenye medical check up, mlimpima na akili?
Kwa sasa mpe Berta miezi kadhaa aongee nae. Kuna mpango wa kumuongezea mkataba. Huenda akakubali.Na kwa tabia ya Madrid huenda alishalishwa sumu kimyakimya
Tetesi tu kwa sasa kwa sababu tuko mbioni kumpa mkataba mpya na kila mtu anajua Real Madrid inamtakaHizi story za Saliba kuhusishwa kuondoka nyie mmezitoa wapi?
asije kufia ghetto
Joao Pedro ni Bora kuliko Glock kwa maana ameshaprove ndani ya EPL na striker ambaye yupo full packageKwahiyo hao uliowataja kwa mujibu wako ni bora zaidi kuliko Glock?
Ukiachana na man u na Arsenal hakuna team nyingine kubwa zilikuwa zinamtakaMchezaji mwenyewe tayari alishasema anataka kwenda Arsenal na walai sio timu nyingine ndo maana timu nyingine hazikushughulika naye.
Manchester United wamejaribu kumbembeleza mara kadhaa ajiunge nao akawakatalia kbsa.
Uwe unafuatilia hizi habari vizuri kabla ya kuja kuandika utumbo wako