Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,199
- 18,921
Victor Gyokeres effect πDogo ana upepo, kakubalika na mashabikiView attachment 3416074
Mtakuja kudhalilika vibaya mno. Nazidi kuwambia labda mshinde kwa kona.Zubimendi ananikumbusha Vitinha na Neves dhidi yetu na PSG, touches nyingi zinazoipa timu control ya kumkera mpinzani, kama kaishiwa pumzi afu bado unamkaba koo.
Hawa Man u mbona itakuwa aibu siku tukikutana, hapo bado EZE
Mpira wa sasa unaitaji mchezaji mwenye mapenzi ya kweli na club, mie kama mwana man u nilikasirishwa na hijacking waliyofanya kwa gyokeres ambae alisisitiza toka mwanzo kuja arsenal.Kakubali katoa sehemu ya mshahara wake ili dili litimie
Changuo lake namba 1 hadi namba 5 ni arsenal tu. Nyumbu akatia pua yake akakataliwa live. He only wants to play for arsenal
Ameshinikiza Sporting cp ili dili lake likamilike, aligoma kurudi kwenye club
Wakala wake nae kakubali kupunguza kamisheni yake kisa dili likamilike
Kama unafahamu ni betting mbona una conclude atafeli? Wanaojua football wanasubiri muda uongee, wewe umeonyesha ni shabiki maandazi usiyejua sokaHapo umeongea football,,, usajili ni betting ! Wacha tuone
Hivi merino ana namba Spain ama ni squad player tu ?? Hata huyo zubimend hana namba ya kudumu Spain wakiwa wote full mziki,,,, kina pedri, Rodri watakuwa wapi mda huo ?Zubimendi na merino ndio midfield engine ya hispain. Epl safari hii watatugea lawama tu
Celebration yake ni trademark.Dogo ana upepo, kakubalika na mashabikiView attachment 3416074
Bila Merino, Spain Euro angeisikia kwenye bombaHivi merino ana namba Spain ama ni squad player tu ?? Hata huyo zubimend hana namba ya kudumu Spain wakiwa wote full mziki,,,, kina pedri, Rodri watakuwa wapi mda huo ?
Kuna mda unasoma pumba ya mtu humu kisa mahaba na mchezaji mpaka unahisi amekatwa kichwa ndo akaandika comment ama ? ?
Bora hata Zubi,,,, Merino yupo yupo tu anabahatisha dakika chache pale national team
Na huu ni msimu wake wa kwanza na ana presha kubwa. Nimeshaanza kuwaza msimu au misimu ijayo itakuwaje akitumia network yake kutafuta vipaji vikali visivyojulikana na vya bei chee kuja kukiwasha kama kwa Atletico Madrid? Nawaza huu ndiyo msimu tutaotumia pesa nyingi kwa sajili ila misimu inayofuata tutatumia pesa kidogo zaidi.Kuna namna Edu alikua hafanyi kazi yake kwa usahihi. Huyu mzee ni mafia wa soko
Zubi ni mchanganyiko wa Partey+Jorginho in a same package.Zubimendi ananikumbusha Vitinha na Neves dhidi yetu na PSG, touches nyingi zinazoipa timu control ya kumkera mpinzani, kama kaishiwa pumzi afu bado unamkaba koo.
Hawa Man u mbona itakuwa aibu siku tukikutana, hapo bado EZE
Hao ni watu wa footmob hawaangalii mpira kazi yao kubishana tuBila Merino, Spain Euro angeisikia kwenye bomba
unamkumbuka Eder wa portugal Euro 2016? utasema kwamba yule ni mchezaji wa maana?. au huku kwenye mpira pori kuna takataka inaitwa Joseph Guede ndiye aliipeleka Young africans quarter final baada ya 25 years ila bado atabaki kuwa galasa tuBila Merino, Spain Euro angeisikia kwenye bomba
Hao ni watu wa footmob hawaangalii mpira kazi yao kubishana tu
Nami niliona hivyo, madogo walijua kukiwasha balaaAssessment yangu mechi ya jana:
Kuna vitoto viwili vya academy, walinivutia sana:
1. Josh Nichols namba 2 (LB)
2. Max Dowman No.7 (LW)
Nadhani hawa wame graduate for selection to feature in big matches
Kai looks like he has gained weight na ni mzito. Kazi anayo.
Unaangalia gemu za Spain? Unakubaliana na huyo jamaa kwamba Zubi na Merino ni galasa?unamkumbuka Eder wa portugal Euro 2016? utasema kwamba yule ni mchezaji wa maana?. au huku kwenye mpira pori kuna takataka inaitwa Joseph Guede ndiye aliipeleka Young africans quarter final baada ya 25 years ila bado atabaki kuwa galasa tu
Hiki ni kipindi cha usajili, kauli kama hizi tushazizoea kwenye hili jukwaa.Zubimendi na merino ndio midfield engine ya hispain. Epl safari hii watatugea lawama tu
Fanyeni sajili aisee. Ohoooo. Tusije kulaumiana AgostiHiki ni kipindi cha usajili, kauli kama hizi tushazizoea kwenye hili jukwaa.
Hahaah usiandike hivi wewe, Liverpool wanajisikia vibayaZubi ni mchanganyiko wa Partey+Jorginho in a same package.
And let me be honest, I wasn't aware of his game until today.. na hii ndio kwanza mechi yake ya mwanzo. So tutegemee mambo mazuri zaidi huko mbele.
Tunaanza na hili halafu tutaendelea na kumalizia na mengine. Huu mwaka wetu huu.