Mmefanya Mambo makubwa Kama yapi? Mbona unanichekeshaHuenda Maresca akabadili mambo zaidi. Tatizo lenu siyo kuwa na wachezaji wabovu. Mmekuwa na wachezaji wazuri tangu enzi za Potter. Nakumbuka mimi mwenywewe nilikuwa naamini Potter atafanya makubwa sana na kile kikosi ila hakuweza na mmeendelea hivyo mpaka kumpata Maresca. Pia mmekuwa na majeruhi kwa wachezaji wazuri kama Nkunku.
Sisi mmetupiga hela kizembe kwa kututupia wachezaji wenu hovyo, ila hao hao wachezaji, kwa miujiza flani, tumeweza kufanya nao mambo makubwa kuliko uwezo wao.
Nafasi ya 2 misimu 3 mfululizo. Msimu uliopita tumetolewa UCL kwenye hatua ya nusu fainali. Haya ni mafanikio makubwa kimpira kuliko UEFA Conference league na hata CWC. Asikudanyanye mtu yeyote kuwa Conference league title ni kubwa kuliko hizo za Arsenal.Mmefanya Mambo makubwa Kama yapi? Mbona unanichekesha
Kwa sababu Victor tunashindwa kumnunua ndo maana hela inaniuma. Bila hivyo hata wangetoa zote me sina shidaBei yake kwani hela unatoa wewe?? Ilimradi Madueke gaucho ni mzuri basii inatosha kwa sisi mashabiki. Tusubiri machachari yake uwanjani.
Tumechukua UEFAPamoja na kuwapasua umebeba kombe gani la maana msimu huu?
UEFA ya msimu gani hiyo?Tumechukua UEFA
Kwahiyo hayo kwenu ndio mafanikio kwa team ambayo mshajipata basi mnasafari ndefu sanaNafasi ya 2 msismu 3 mfululizo. Msimu uliopita tumetolewa UCL kwenye hatua ya nusu fainali. Haya ni mafanikio makubwa kimpira kuliko UEFA Conference league na hata CWC, asikudanyanye mtu yeyote kuwa Conference league title ni kubwa kuliko hizo za Arsenal.
Kijana wa miaka 16 aliye na Div 3 form 4 si sawa na kijana wa miaka 16 aliyefanya mitihani ya darasa la saba na kuwa kinara wa darasa hilo.
Nimesema ni mafanikio kuliko hayo yenu.Kwahiyo hayo kwenu ndio mafanikio kwa team ambayo mshajipata basi mnasafari ndefu sana
Usiishi kwa mazoea blaza, shauri yako! Jua mnaenda kukutana na Bingwa wa vitimu vyote vya hapa duniani. Usiseme sijakutahadharisha. Muulizeni mbabe wenu PSGMadueke Efusiii tena? Yaani hata heshima ya jina hamtupi? Ligi ianze tu tuendelee kuwashushia vichapo ili muendelee kutamba na vikombe.
Unafikiri Arsenal hawana hela y kumnunua Gyokeres , sema anachofanya Arsenal ni utoto, ameshajua mchezaji mawazo yake yote yapo Arsenal ndio mana hajishuhulishi kubagain, mana wametofautiana buku jero tu, sasa Arsenal wanashindwa kutoa hiyo buku jero kweli?Kwa sababu Victor tunashindwa kumnunua ndo maana hela inaniuma. Bila hivyo hata wangetoa zote me sina shida
Kama mnataka si mumsajili Sasa mbona mnamsumbua tu mtu kawaganda kama kunguni msajilini watu wafocas na sajili nyingine tumechoka kila saa victor victorSijaona wa kumzuia kuchukua kiatu
Chances created by odegard zinaenda kumpata mtu sahihiView attachment 3414029