arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Mosquera na gyokeres tyri....hatua inayofata ni kuuza magalasa...Lokonga, Nelson, Zinchenko(hyu inauniuma kusepa ila haina jinsi), Fabio Vieira na trossard naye inabidi tumuuze tu kuingiza pesa...then kituo kinachofata ni Eze na LW mwingine type ya Yule wa Atalanta ademola Lookman....Rodrygo is too expensive...wacha aende PSG au Liverpool kama wataweza kununuaHao waache tu maana baada ya kama mwezi tu hapa tutakuwa tunawapiga Nyumbuz 6-0 na kurejesha imani yao.
Nafikiri tufunge kazi na Eze.Mosquera na gyokeres tyri....hatua inayofata ni kuuza magalasa...Lokonga, Nelson, Zinchenko(hyu inauniuma kusepa ila haina jinsi), Fabio Vieira na trossard naye inabidi tumuuze tu kuingiza pesa...then kituo kinachofata ni Eze na LW mwingine type ya Yule wa Atalanta ademola Lookman....Rodrygo is too expensive...wacha aende PSG au Liverpool kama wataweza kununua
Noni anaweza kucheza kote ila still tunahitaji another direct LW kuja kuchukua nafasi ya trossard.... trossard ni mzuri ila umri ushaenda na anasumbua Ku sign mkataba mpya...bora kuuza kuliko kuondoka bureNafikiri tufunge kazi na Eze.
Hao uliowataja tuwauze wote.
Nafikiri Noni anaweza kidogo kucheza LW kama Trossard akiondoka so hatuhitaji LW mwingine kwa sasa. Trossard akibaki atacover LW.
Hapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapaHabari za asubuhi kutoka kwa world champions[emoji16]....
Hahaha ona vichekesho hiviHapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapa
Hujui kitu. Unapenda kutafuta relevance. Mimi nimekua humu kwenye worst seasons lakini kilichonikera kwangu ni pursuing ya wachezaji wa Chelsea wakati ambao ukinunua hao wachezaji ni unawabail kwenye msala.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti wali nazi wakati kuna watu wanajuta mpaka dakika hii kua mashabiki wa Arsenyashi.
Muacheni Castr apumzike kwanza, mtu mpaka akifikia hatua ya kuomba watu wasimquote ujue ameshavulia sana mpaka uvumilivu umefikia mwisho, ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili kuendelea kumng'ang'aniza mtu kwa jambo linalomnyima furaha.
Walikuwepo kina Labyrinth 84 wakahama timu kwa maumivu makali, walikuwepo kina Masingeli wakiwaongopea watu humu kwa false hope kama wewe halafu mwisho wa siku wamelikimbia jukwaa kwa uchungu mkubwa. View attachment 3405763
HahahahahahahahahahahahahaAmna cha lolote mkuu linaweza kutokea chelsea ni kifo tu hapo bna mpira unadunda ila siyo kwenye tope
Hongereni kwa pre season si bado hatujaanza
Acha kujitekenya ili ucheke😂Hapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapa
Ukisikia kujitoa ufahamu huku ndio kujitoa kwnyewe ufahamu sasa. Kwa hiyo kwa fikra zako chelsea wanatamani siku moja iwe kama Arsenal?! 😂😂😂😂Hapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapa
Huyo jamaa kanichekesha😂😂, halaf kanisikitisha! hivi kweli mtu kwa akili zake timamu atamani timu yake iwe kama Arsenal?! Kweli haya ni matusiiAcha kujitekenya ili ucheke😂
Ama hakika😂😂😂Huyo jamaa kanichekesha😂😂, halaf kanisikitisha! hivi kweli mtu kwa akili zake timamu atamani timu yake iwe kama Arsenal?! Kweli haya ni matusii
Kama yupo seroius, basi kuna vitu kwa upande wake havijakaa sawa.
Amenikumbusha yale mazuzu ya darasa kila mtihan wanakua wa mwisho, kumbe tulikua tukiwacheka mawazo yao tunawaonea wivu tunataka tuwe kama wao😂😂😂Ama hakika😂😂😂
Yupo sahihi mnaiweka sana kichwani. Mngekuwa hamtuwazi kusingekuwa na haja ya kuzurula humu toka jana.Huyo jamaa kanichekesha😂😂, halaf kanisikitisha! hivi kweli mtu kwa akili zake timamu atamani timu yake iwe kama Arsenal?! Kweli haya ni matusii
Kama yupo seroius, basi kuna vitu kwa upande wake havijakaa sawa.
Liva akichukua anamtambia mtani wake everton man city akichukua anamtambia UNited ila sisi na nyie ni wa mji mmoja tukichukua lazima tuwatambie alafu kingine hakuna mwanaume anaetmanani mwanamke mgumba ambae hazai yani kutamani chelsea iwe kama arsenal ni jambo ambalo haliwezekani makombe ni matokeo ya project project ya miaka 6 bila kombe ni sawa na kuishi na mke miaka 6 bila mtoto je wewe utakubali uwe arsenal?Yupo sahihi mnaiweka sana kichwani. Mngekuwa hamtuwazi kusingekuwa na haja ya kuzurula humu toka jana.
Liva na City wakichukua kombe wanatulia makwao ila nyie sasa. Hizo ni dalili za inferiority. Kama unajua utaonekana tu ila sio ulazimishe kujadiliwa
Ubaya ni kwamba Arsenal hatuna uhasimu na Chelsea, wala hatujawahi kumuweka Chelsea kwenye equation, bora ungesema Spurs sababu ya North London derby, jukwaa hili anayeruhusiwa kupiga kelele ni nyumbu sababu ya tamaduni za Arsenal na Man u, na uhasimu wa Wenger na Fergie.Liva akichukua anamtambia mtani wake everton man city akichukua anamtambia UNited ila sisi na nyie ni wa mji mmoja tukichukua lazima tuwatambie alafu kingine hakuna mwanaume anaetmanani mwanamke mgumba ambae hazai yani kutamani chelsea iwe kama arsenal ni jambo ambalo haliwezekani makombe ni matokeo ya project project ya miaka 6 bila kombe ni sawa na kuishi na mke miaka 6 bila mtoto je wewe utakubali uwe arsenal?