Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arsenal katoa ofa ya paun 50m kwa noni, Chelsea kataka zaidi.

wakati huo arsenal bado haja msajili gyokeres, arteta ni mwehu kudadadeki
Sio kwamba hawajui wanachokifanya, na hata wao wanajua wanahitaji Top CF, deal la madueke limekamilika na dili ya Gyokeres litakamilika kwan kati yetu anajua Bajet ya Arsenal msimu huu ni kiasi gani???.
 
Sio kwamba hawajui wanachokifanya, na hata wao wanajua wanahitaji Top CF, deal la madueke limekamilika na dili ya Gyokeres litakamilika kwan kati yetu anajua Bajet ya Arsenal msimu huu ni kiasi gani???.
Wewe ume Anza kuishabikia arsenal Mwaka gani?, punguza hopes na hii timu ku blunder ndio kipaji chake Kikubwa dunia nzima.

Waulize kina makaveli10, HENRY14, mkorea na hata Flano hii arsenal sio ya kuisemea kudadadeki πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Binafsi nimeishiwa maneno.madueke kabisa?
Nahisi something is going on between Chelsea and arsenal top management.

Mimi sio kocha ni sawa
Mimi sio mmiliki ni sawa
Mimi silipii kadi ya uanachama ni sawa
Mimi silipii kiingilio ni sawa
Mimi sinunui Jessy original ni sawa
Mimi Sina mchango ni sawa.


Ila huu ni ujinga tena zaidi ya ujinga.

Hakuna mchezaji aliyetoka Chelsea akaja kwetu akadeliver constructively.

Gallas,William,peter zcheck,yos benayoun,mbuzi Kai harvets, hawa kunguru wote came to retirement mode klabuni kwetu.

Sasa naanza kuamini uchawi upo.ngoja nijipe muda
 
Sidhani kama tuna mpango wa kumchukua Noni kiukweli mpaka sasa. Tutakuwa tunacheza hangaisha bwege na watu halafu tunachukua mchezaji mzuri ambaye hakuna mtu anajua tunaongea nae mpaka msikie tu tumeshamsajili. Kama tulivyofanya na dili la Norgaard.
🀣🀣🀣 cheki hii Wenger orphans ipo serious kuliko club yake
 
Hili deal la Madueke ilibidi tuwape na Robert Sanchez kama kifungashio Ila ngoja tutafute mbadala wake kwanza πŸ˜‚
 
Mkuu toobiter siku nyingine usirudie tena kuandika hilo jina la winga teleza kwa herufi ndogo, mpe heshima yake huyo ndio next Ballon d'Or winner anaitwa Noni Yamal Madueke.
 
Usajili wa Gyokeres upo mjia panda.
Usajili wa Olivia Smith nauunga mkono. Yule dada ni fighter, lakini wangemleta Vicky Lopez ningefurahi zaidi ingawaje najua hayupo kwenye mipango yao. Muangalie leo, najua ataanza
Gyokeres hio Β£90m utatoa wewe?
Arsenyo baada ya kumalizana na Noni Yamal Madueke kituo kinachofata ni kwa Super striker Nicolas Aguero Jackson a.k.a The Beast.
 
Mchezaji mnamchukua na kigenge kizima kinashukuru.

Madueke kwa takwimu zake hizi hizi tungekua tunamnunua kutoka labda Lyon au CP mashabiki wangeona sawa tu.

Ila shida ni anapotokea. Kuna sehemu nimesoma kwamba Arteta amemtaka Madueke ili asingekuja akikosa makombe asingizie hakuletewa Madueke
 
Wewe ume Anza kuishabikia arsenal Mwaka gani?, punguza hopes na hii timu ku blunder ndio kipaji chake Kikubwa dunia nzima.

Waulize kina makaveli10, HENRY14, mkorea na hata Flano hii arsenal sio ya kuisemea kudadadeki πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kujifanya uko serious na arsenal ni kujitafutia maradhi ya moyo..
Hapa ni kama unapiga mwanamke malaya, wivu ni msmaiati ambao hutakiwi kuwepo kichwani mwako..
 
Gyokeres hio Β£90m utatoa wewe?
Arsenyo baada ya kumalizana na Noni Yamal Madueke kituo kinachofata ni kwa Super striker Nicolas Aguero Jackson a.k.a The Beast. View attachment 3401566
Huyu kuna switch kama 3 hivi kichwani mwake, zikikatwa na kuungwa direct, anaweza kuwa mchezaji mzuri.

Ila ASHENYALI, wanajua kutupagawisha mashabiki wake.. πŸ€£πŸ˜‚
 
Nyie hata hamjui mnataka nini ,,,,,

Madueke wa nini sasa ? Chelsea imekuwa chimbo lenu la kuokoteza matakataka,,,, msimu huu tu Madueke na kepa !

Nackia kuna mashabiki huko London walipitisha petition ya kutotaka Noni asajiliwe, signature zilifika zaidi ya 2000! Poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…