Umefanya nicheke mpaka nipaliwaBinafsi Madueke naona ni mchezaji mzuri atawasaidia sana Arsenal kwnye harakati za ubingwa, utafauti wake na mess ni vile virasta na kile kitambaa cheusi.
Eze ni mzee wa injury hawafai.
Mbona kijana unanongwa uzuri wa Madueke ni Kama sterling huwa wanaamua game zakucheza vizuri na unaweza ukasema huyu ndio Messi sasa kwenye hizo game chache atawasaidiaBarcola na Doue walikua wanauzwa 50M.
Leo unatoa 50M kwaajili ya bench warmer
Ile game na Wolves alivyopiga hat trick mkasema mmepata mtu kudadeki hakuscore goli lolote kwa wiki 37 baada ya hiyo hat trickMbona kijana unanongwa uzuri wa Madueke ni Kama sterling huwa wanaamua game zakucheza vizuri na unaweza ukasema huyu ndio Messi sasa kwenye hizo game chache atawasaidia
Hamjapanga hata mikakati ya namna ya kutoshuka daraja ila mmekalia tu ya Arsenal. Nyie hayaa 😂Chelsea huwa hauzi magarasa yake mbali na London, anajua sehemu ya kuwapeleka pindi wakishindwa kufit kwenye mfumo wake.
No one saw this coming! Unakataa kumuongezea Octopus £50,000 unamleta Madueke akupe EPL!
Kama chelsea sio wachawi basi Arsenal huwa wanapenda kitenga sana
Tuna panga mikakati ya kuchukua cwc kwanza we aseno muda unamkakati ganHamjapanga hata mikakati ya namna ya kutoshuka daraja ila mmekalia tu ya Arsenal. Nyie hayaa 😂
Kwa kweli Madueke anakera mno tunashuru kwa kutupunguzia huu mzigo nyie ni wakarimu sana ndio maana tunawapenda majirani zetuIle game na Wolves alivyopiga hat trick mkasema mmepata mtu kudadeki hakuscore goli lolote kwa wiki 37 baada ya hiyo hat trick
Msimu huu sina wasiwasi kabisa maana nina uhakika wa top 10 mkuu.Hamjapanga hata mikakati ya namna ya kutoshuka daraja ila mmekalia tu ya Arsenal. Nyie hayaa 😂
Mmeanza tena kutustua mioyo yetu bila sababu za msingi mkuu.Arrizabalaga
Zubimendi
Nørgaard
Gyökeres
Mosquera
Rodrygo
Eze
Madueke
Andrea Berta is cooking.
Arsenal Football Club will be unstoppable next season
Sasa top 10 si hata Bournemouth na Brighton wana uhakika. Kweli mshavurugwa vibaya 😂Msimu huu sina wasiwasi kabisa maana nina uhakika wa top 10 mkuu.
Ila arsenal akiingia top 4 naacha kuangalia EPL mazima.
Huko huna chako we jiandae kutoa pointi sita tenaTuna panga mikakati ya kuchukua cwc kwanza we aseno muda unamkakati gan
Hii ni ramli au utabiri?Huko huna chako we jiandae kutoa pointi sita tena
Nico ni mchezaji wa kawaida labda kwa kuwa dunia ya mpira ina upungufu wa wachezaji wazuri wengi.Sasa hivi Nico Williams analipwa 265K kwa wiki.
Amefunga magoli 16 kwenye mechi 132 za ligi alizocheza.
Martinelli amefunga magoli 15 msimu wa 2023 pekee.
Aende kwa mkopo tu, akakomae zaidi.Nwaneri na Arsenal wanajadiliana juu ya jinsi gani atapata game time ya kutosha.
Anaweza kuondoka asipohakikishiwa game time.
Tunaongeza takataka 🤣😂As of now inasemwa kwamba Arsenal inaendelea na mazungumzo na kambi ya Noni juu ya makubaliano binafsi na yanaenda vizuri.
Lakini Arsenal pia ipo kwenye mazungumzo na Nwaneri na moja ya sehemu waliyopo kwa sasa ni makubaliano juu ya game time.
Achana na Eze.
Achana na Rodrygo.
Kuna Nelson.
Tunaguarantee vipi game time kwa Nwaneri ili akue ikiwa unahangaika na Noni?
Hii itakua ni nonsensical signing ambayo nimewahi kuishuhudia. Chelsea kapigwa fine leo, hii signing ni sehemu ya kujisafisha.
Binafsi yangu, ikatokea Arsenal tunamsajili Noni sitafuatilia mechi za Arsenal mpaka akiondoka.
Katika jambo nilicheka na kuona hatuko serious ni kwenye usajili wa LUIS SUAREZ. 🤣😂Arsenal iliwahi kuhusishwa na kumnunua Higuain au Suarez.
Dirisha likafungwa akaja Yaya Sanogo.
Kwahiyo mnaofurahi Noni kusajiliwa mkidhani kwamba yeye anakuja na Eze na Gyokeres au Sesko anakuja itakua hamuijui Arsenal.
Atakuja Noni halafu Eze, Gyokeres au Sesko utaambiwa pesa haitoshi.
Trossard ataongezewa mkataba na usajili ambao tuliambiwa utakua wa kujiandaa na kuchukua makombe unakua umeishia hapo.
Manina