Chelsea yupo nusu fainali kombe la dunia, afu arsenyeto yupo anahangaila na usajili wa mchezaji ambaye ana uhakika wa kushinda kombe la dunia ili angalau waone medali zinavyoonekana 😂Najitahidi tu kujipa matumaini bro. Chelkenge wamechukua Gittens na Delap, Manymbu wanamchukua Mbeumo, C11ty imeweza kuwapata kina Cherki. Hao wote naona tulikuwa na uwezo wa kuwachukua mbele ya hizo timu ila ni kama hata hatukuwaangalia hao wachezaji. Hivyo sielewi watu wetu wanafanyaje chaguzi zao.
Binafsi Madueke naona ni mchezaji mzuri atawasaidia sana Arsenal kwnye harakati za ubingwa, utafauti wake na mess ni vile virasta na kile kitambaa cheusi.Arteta ni tapeli tu magalasa anayochukua chelsea anapiga hela ndefu ni dalali.
Zubidoo ndani ya nyumba
Watani zangu hapa ndipo nawapenda mnatusaidiaga kwenye kupunguza mizigo kwenye team kuanzia kina Kai etc endeleani na kuwa na moyo huo huoNoni Madueke to Arsenal🤔!! Hii club hakuna ambition yoyote inafocus.. Unawezaje kutaka kutumia almost 50m kwa mchezaji ambaye atakuja kuwa ni bench warmer upande wa kulia ambao yupo Saka.. Au ndio kutaka kutuaminisha Madueke akacheze upande wa kulia?? Hivi kwanini Arsenal ni waoga kuapproach Elite players wanakimbilia makapi na reject za Chelsea ambazo historically hazijawahi kutusaidia chochote zaidi ya kugharimu timu. Ubahili ukizidi sana hutengeneza ujinga ndani yake
😂😂😂Tulieni nyie aseno ya makombe isukwe huku madueke huku saka lazima watu waombe poo madueke tunawauzia kwa 50 sababu nyie wanetu ila tungewapiga hata 70 ni bonge la mchezaji lile baada ya madueke njooni tuwape na badiashile bonge la beki