OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Hawa viazi mbatata ni kuendelea kuwakula tuuuSpurs kabeba Europa kabla ya arsenal, within 10 years spurs ni bora zaidi ya arsenal, miaka 10 iliyopita kashiriki final uefa, kabeba europa na kashiriki uefa mara nyingi zaidi ya assnal.
Leicester huyu hapa kashuka daraja atapanda atabeba epl haijalishi ni mwaka gan hata 2050 ila itakua kabla ya arsenal 😂😂
Mpaka phase ya ngapi mtakua meshafanya hayo yote?Hajatuacha mbali. Kesho tu hapa tunampita. Chelsea, Liverpool na Manchester City nao tutawakuta ndani ya miaka michache tu. Safari yetu inaelekea kileleni mwa hii orodha, na tutafika tu.
Phase 4 mkuu. Phase la makombe hilo. Tena kwa hasira, ili ipendeze, Phase 4 tunabeba makombe manne.Mpaka phase ya ngapi mtakua meshafanya hayo yote?
View attachment 3357279
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timueni kwanza Tetea Kiwigi ndio muanze kufikiria habari za makombe.Phase 4 mkuu. Phase la makombe hilo. Tena kwa hasira, ili ipendeze, Phase 4 tunabeba makombe manne.
Flano ifanyie lamination huu utopoloPhase 4 mkuu. Phase la makombe hilo. Tena kwa hasira, ili ipendeze, Phase 4 tunabeba makombe manne.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao tayari wameshajikatia tamaa na hiyo Project uchwara ya Tetea Kiwigi, Mashabiki wa Arsenyau sasa hivi wamekua kama mbuni, wanaficha kichwa kwenye mchanga na kujidanganya kua adui hatawaona.Flano ifanyie lamination huu utopolo
Hata kiwigi alitakiwa atimuliwe siku nyingi.Kama kuchukua kombe ni mafanikio kwanini Spurs wamemfukuza Ange?
Phase 4, ndio phase y mwisho au kuna phase nyingine, ndio tuanze kudiscuss mafanikio y kiwigi?Phase 4 mkuu. Phase la makombe hilo. Tena kwa hasira, ili ipendeze, Phase 4 tunabeba makombe manne.
Huyu ni mwiba wenu kenge na punda woteHata kiwigi alitakiwa atimuliwe siku nyingi.
Huyu ni mwiba wenu kenge na punda wote
KiwigiHuyu nani?