Si nilikuambia unakuja kunipa points 3?Point 3 zipi hapo emirates umesahau nimekupiga 2 :0 hapo hapo tena nakupiga goal 3 leo.
Katika game 5 tulizokutana umeshinda game 1 tu zote 4 nakupiga , kwanza nafasi ya 2 inabidi nikae mimi hapo maana huna unachokifanya muda wote upo hapo.
Najua hakukuelewa ila twende naye taratibu tu huyu mwamba. Si unajua aliondoka kwetu? Muda si mrefu atarejea na asiporejea, atahamia timu nyingine akiona mijusi haishindi makombe atakavyo yeye.Inabidi uwe mjinga ili uamini Newcastle anaifunga Arsenal.
Sijakutana na kakikundi kanajua kupaki basi kama haka kakifuatiwa na Inter
Sasa hivi tunajadili sajili za kutengeneza kikosi cha mauaji maana ndicho tulichobaki nacho. Tumemaliza nafasi ya 2 kwa msimu wa tatu mfululizo huku msimu huu ukiwa mbovu kwetu kuliko hiyo miwili iliyopita.Kama kawaida yao wameshift mada ghafla sana kutoka kuchagua opponent wa kucheza naye fainali ya UCL hadi kubishana usajili wa Gyokeres. Utadhani sio wao hawa walikuwa wanaongelea namna ya kukabiliana na Barca/Inter kwenye fainali!
Waje wote.Gyokeres ama Sesko?
Tetesi ni kuwa tunawafuatilia hawa wawili. Mimi huwa siamini habari yoyote ya Arsenal mpaka nimuone mchezaji anatambulishwa Arsenal.com
Ila nyie wadau mnaona yupi anatufaa na kwa nini? Na je kama mmeangalia mastraika tofauti na hao, yupi mnaona atatufaa?
Wote kwa pamoja si wanaweza kugharimu 150m euros hawa? Siyo mbaya ila nadhani klabu itataka kumchukua mmoja tu kwanza maana Havertz atakuwa amepona na Jesus bado yupo, wote hawa wawili wanamishahara ya juu sana na hawauziki.Waje wote.
Fund ipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tazama akili matope hii, wenzao wanafurahia na kushangilia makombe wenyewe wanashangilia ugomvi.Dk za mwisho kwenye mechi ya jana ukatokea ugomvi. Ule ugomvi ni matokeo ya Kai kufanya ambacho wachezaji wa Newcastle wamekua wanakifanya kwa misimu miwili sasa.
The difference is that mtenda akitendewa hujihisi kaonewa.
hamis77 aliwahi kusema Kai hua anacheza rafu ambazo hazimpi kadi ila zinamzuia mpinzani. Hicho ndicho Kai alichofanya alipoingia tu.
Utayari wa Arsenal kwenye ugomvi ni mzuri. I like that, wayback ugomvi alikua anaachiwa Xhaka peke yake, Kieran peke yaka au Guendouz peke yake, Arteta brought this team together.
Mpuuzi aliye nafasi ya 16 anakuja kuongelea swala la makombe kwenye uzi wa aliye nafasi ya pili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tazama akili matope hii, wenzao wanafurahia na kushangilia makombe wenyewe wanashangilia ugomvi.
Tukisemaga humu kua ukishabikia hii timu lazima tu utakua na matatizo ya kisaikolojia watu wanaona kama vile tunawaonea, haya jioneeni wenyewe.
Mashabiki wa Arsenyau badala ya kuzungumzia utayari wa kubeba makombe wenyewe wanazungumzia utayari wa timu yao kwenye ugomvi ni mzuri.
View attachment 3339719
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] "Utayari wa Arsenal kwenye ugomvi ni mzuri and I like that"Mpuuzi aliye nafasi ya 16 anakuja kuongelea swala la makombe kwenye uzi wa aliye nafasi ya pili.
Unatafuta relevance siyo? Unatamani kuongeleshwa punda wa matofali ya kuchoma
Hizi emoji na picha hazitasaidia kuficha level ya upuuzi uliyopo kwa sasa. Ni ajabu sana mjinga mmoja unaenda msimu wa tatu anamaliza msimu kwa goal difference za kutosha ila hachoki kutafuta relevance kwa kuquote kila anayemuona na kuanza kupreach uharo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] "Utayari wa Arsenal kwenye ugomvi ni mzuri and I like that"
Mpuuzi aliye nafasi 16 halafu akabeba kombe la Ulaya akiwa Unbeatable ni mpuuzi mwenye faida kuliko yule mpuuzi anaesindikiza wenzake kila msimu na kutoka mikono mitupu huku akiishia kuisifia timu yake kwa utayari wa ugomvi na kupata red card nyingi.
Natamani mashabiki wa Arsenyau wangefungiwa tu akili mnemba kuliko kuachwa wanaropokwa hovyo. View attachment 3339798
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa huyo mjinga mmoja unaenda msimu wa 3 anamaliza kwa GD- za kotosha lakini misimu yote 3 anabeba makombe, hauoni kua ni mjinga anaejitambua kuliko yule msindikizaji misimu yote anamaliza na GD+ za kutosha, clean sheet za kutosha halafu mwisho wa msimu anatoka mikono mitupu?Hizi emoji na picha hazitasaidia kuficha level ya upuuzi uliyopo kwa sasa. Ni ajabu sana mjinga mmoja unaenda msimu wa tatu anamaliza msimu kwa goal difference za kutosha ila hachoki kutafuta relevance kwa kuquote kila anayemuona na kuanza kupreach uharo.
Pathetic
hamjashinda makombe misimu 3.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa huyo mjinga mmoja unaenda msimu wa 3 anamaliza kwa GD- za kotosha lakini misimu yote 3 anabeba makombe, hauoni kua ni mjinga anaejitambua kuliko yule msindikizaji misimu yote anamaliza na GD+ za kutosha, clean sheet za kutosha halafu mwisho wa msimu anatoka mikono mitupu?
Hivi malengo haswa ya Arsenyau kucheza mpira ni nini? MAANA HATUWAELEWI.
Isijekua tunawalaumu bure kutokubeba makombe kumbe wenzetu nyie malengo yenu ni GD+
View attachment 3339982