Tangu tuanze kua kwenye rhythm huu ni msimu ambao mechi ya kwanza tu nikajua we will have a long season.
Huu ni msimu ambao kila kitu kilikua against surprisingly ambao wanaclaim wana timu bora wanatrail. Mkikutana watafanya swarming ya mbele ya goli.
Anyway, hii timu kumaliza nafasi ya pili ni milestone. Kikosi kinatakiwa kuboreshwa, maajabu yake bado tunafanya unnecessary dragging