Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal pamoja na ubora wake wa miaka 5 mfululizo lakini bado anatoka trophless hakuna hata fainali moja ameingia.

Hii ni aibu bora hii timu ifutwe tu aina maana wala faida
 
how will you arrive there(opposition 3rd) km unataka penalty box striker?, mpira ni mchakato jamani, mpira hauwezi kufika pale kwa miujiza ukizingatia usajili wa zubimendi means we want to play calmly and cleanly out from the back. Osimhen/ Haaland/ Lewandowski wanalink play na kufunga pia, kulink play na ku hold sio kutu kinachomfanya striker awe mbovu kufunga.
 
Arsenal pamoja na ubora wake wa miaka 5 mfululizo lakini bado anatoka trophless hakuna hata fainali moja ameingia.

Hii ni aibu bora hii timu ifutwe tu aina maana wala faida
Arsenal wameigia fainali UCL ama hawajaingia? nithibitishieni
 
Hili timu la magundu bado lina mashabiki? Man u mbovu vs tottenham mbovu mmoja anachukua kombe la ulaya kabla ya asenyeto nzima.
 
Ni wazi makombe mawili ya ulaya yanabaki london huku jorani unabaki kufinya pumbu kupmbea mabaya hili timu mnalishabikia mna moyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…