Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
Nimelia sana😹😹😹Reshape miaka 7… uzuriii wa false hopes huwa haziiishi mpaka mnazeeka .
Just imagine halland, foden, elliot, trent wamezaliwa wakanyonya wakacheza under 5, under 10 na under 15 lakini wana makombe mengi wamenyanyua kuliko uliyotazama arsenal akinyanyua.
Nasema uongo ndugu zangu wa supercomputer??😂😂
Makofi tunawapigia na mabao tunawapiga pia. Bahati yao tu leo tulikula kadi nyekundu ila maji wangeita mma.
Ila watu 😹💔Black smoke was seen coming out of the Emirates Stadium, indicating that no trophy has been won this season again...View attachment 3331464
😂😂😂😂😂😂
Kwa namna ambavyo wameshinda nafasi ya mshindi wa 2 mara 3 mfululizo, wameishabweteka hawa punda. Mwakani tunawakuta nafasi za kina crystal palace uko.Nyie Jamaa anzeni kujisifia makombe ya mwakani kabisa kama kawaida yenu
Mchezaji akiwa arsenal anakuwa very comfortable,hana presha.huyo sesko ana akili kama za kina laccazete.very hardworking ila output sasaNakubaliana na wewe.
Relaaax kunywa maji this is arsenal mkuu,we will win it in our waysKwa namna ambavyo wameshinda nafasi ya mshindi wa 2 mara 3 mfululizo, wameishabweteka hawa punda. Mwakani tunawakuta nafasi za kina crystal palace uko.
angalau gor kapafomu vizuri, vipi Watkins sii best choice kwa 1-2 yrs?Mchezaji akiwa arsenal anakuwa very comfortable,hana presha.huyo sesko ana akili kama za kina laccazete.very hardworking ila output sasa
Gyokeres namuona hana mambo mengi japo magoli mengi aliyofunga anaonekana Yuko very comfortable against defenders kitu ambacho hawezi PATA kwa beki ngumu za eplangalau gor kapafomu vizuri, vipi Watkins sii best choice kwa 1-2 yrs?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kazi ya wasindikizaji ni kupanga mstari na kupiga makofi ya heshima kwa mabingwa.Kwa namna ambavyo wameshinda nafasi ya mshindi wa 2 mara 3 mfululizo, wameishabweteka hawa punda. Mwakani tunawakuta nafasi za kina crystal palace uko.
Man city aliwapiga hat trick ni mabeki wa EPLGyokeres namuona hana mambo mengi japo magoli mengi aliyofunga anaonekana Yuko very comfortable against defenders kitu ambacho hawezi PATA kwa beki ngumu za epl
Mimi gyo ananitia wasi wasi naona nofoward wa kawaida,timu ikibanwa sana hawez kuoffer kitu kingine,halland na uzuri wake wote man city ilivyopotea na yeye akapoteaGyokeres namuona hana mambo mengi japo magoli mengi aliyofunga anaonekana Yuko very comfortable against defenders kitu ambacho hawezi PATA kwa beki ngumu za epl
Ila sajili ni kamari tu, Wacha tuone ipi ita lipa.Gyokeres namuona hana mambo mengi japo magoli mengi aliyofunga anaonekana Yuko very comfortable against defenders kitu ambacho hawezi PATA kwa beki ngumu za epl
Kama kawaida yao wameshift mada ghafla sana kutoka kuchagua opponent wa kucheza naye fainali ya UCL hadi kubishana usajili wa Gyokeres. Utadhani sio wao hawa walikuwa wanaongelea namna ya kukabiliana na Barca/Inter kwenye fainali!Nyie kenge mnadanganyana sana humu