Makofi tunawapigia na mabao tunawapiga pia. Bahati yao tu leo tulikula kadi nyekundu ila maji wangeita mma.Yaani mkaingia mkajipanga mkaanza kupiga makofi ππ , wakati si tunawapiga liverpool kuchukua carabao , nyinyi mnajipanga kupiga makofi ila arsenal fans mnatia huruma sana.
Ulisoma ujumbe wao lakini πMakofi tunawapigia na mabao tunawapiga pia. Bahati yao tu leo tulikula kadi nyekundu ila maji wangeita mma.
Yup. Utani lazima uwepo.Ulisoma ujumbe wao lakini π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu zote za England zinazocheza fainali mashindano ya ulaya jana zimefungwa goli 2-0, basi kwa akili ya ya Arsenyau umejua ni coincidence.Kuna kenge zinapata nguvu ya kujiaminisha zina msimu mzuri kuliko arsenal
Kwa format ya zamani hawavuki RO16 kwenye iyo EL
View attachment 3331477
UCL ni kombe la sisi Majogoo sio haobaada ya kumng'oa Madrid, Arsenal jiandaeni kunyanyua kwapa