Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia tena pamoja Chelsea yangu mbovu ila itabeba kombe kabla ya prime aseno
 
Huyu PSG katoa timu 3 za Uingereza. Mojawapo ni Loserfools, mabingwa wa PGMOL, PSG hajaangalia sijui wewe hua hautembei peke yako au ni mshika bunduki ni fimbo tu zimetembea
Wewe ushagongwa nje ndani tulia usitafute faraja Kwa timu zingine
 
KhaaπŸ˜„πŸ˜†
Mnataka mumvunje miguu Saka wa watu
Kwani mfungaji alikuwa pekeyake?
Walikuwa wengi, sasa tumlaumu trossard wakati yeye saka ndio kakosa nafasi ya wazi!??
Imeandikwa Kila mmoja atabeba msalaba wake, kwani kanisani huwa unaenda kupiga selfie 🀳 nini 🀣
 
Kila mtu anakuja kufananisha loss yake na ya Arsenal. Loserfools wanakwambia bora sisi tumetolewa kwa penalty
 
Kwa mujibu wa Castr hizo 6 sio goli.

Goli ni hizo 7.

Tumuacheni huyu ndugu yetu bado hayuko sawa na ile migoli ya kikatili ya jana ya Fabian Ruiz na Hakimi.
Sasa siwezi kusema mlifungwa halafu nikataja mlizofunga.

Labda niseme mlifungana 7 - 6
 
Bingwa ni Inter Milan. Chukua hii nakupa sasa.
 
Coca nazidi kuwaduwaza watu, na utabiri wangu, ingekua ni betting ningeshazoa mapene mengi.

Jah endelea kuwa upande wangu, niwashangaze zaidi hawa waja. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimeahidiwa 2M, km utabiri wangu utatimia ktk final, watu wana hasira na mie hatariii.
Woiiiiih.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…