Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo Bournemouth siyo timu kubwa? Walitufunga kwa style hiyo juzi juzi tu hapa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Bournemouth ni team ndogo halafu waliwafunga goli la mkono ambalo hata VAR ilishindwa kuliona (ghost goal)
 
PSG iliyofungwa 3 na Villa ni PSG ambayo iliomba isicheze mechi yoyote kwa week nzima ili ijiandae dhidi ya mechi na Villa.

Hii ni PSG ambayo inaaminiwa kumtoa Arsenal [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hao watu sio wa kuwapa airtime. Ni hamnazo kichwani
Hawa mashabiki wa arsenal watafanya vinywaji vikali kama kvant zipigwe marufuku we mtu gani anaejitambua anakosa kuona tu kuwa wao mwisho wao ulifikia hapo yule hamiss 77 masingeli hatumuoni humu alisha jua walipiga bomu mochwari pale kwa madrid ila hawa wakajiona kama washa maliza kila kitu
 
Mkuu ulijipangia mpaka fainali
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

Attachments

  • 20250508_000937.jpg
    42.2 KB · Views: 21

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…