Mmeteseka sana ndg zetu ila toka niangalie uefa mwaka 93 mpaka Leo makelele uwanjani yalikuwa sio ya kawaida ,mshabiki wamewatesa ,wachezaji wameteseka ni totally humiliation
Asante PSG kwa kuwatoa Liverpool na Arsenal, Asante Arsenal kwa kumtoa Madrid, Asante Inter kwa kuwatoa Bayern na Barca, Asante Madrid kwa kumtoa City.
Itoshe kusema Inter wabebe kombe hili 🙌 football imeshinda.
Si tulisema humu currently psg wapo inform kuliko arsenal ila false hoppers humu wakawa wanaitangaza fainali yao na inter milan na kwenda mbali zaidi kusema washalibeba kombe hilo