Aeko
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 599
- 1,362
pindua hio iwe 3-2 ndio matokeo leoFull time PSG 2- Arsenal 3
pindua hio iwe 3-2 ndio matokeo leoFull time PSG 2- Arsenal 3
Mbona ss psg inaongoza km hawajui kufungaa mkuu🤔🤔Hizi timu za leo hazijui kufunga
Kaa kimya maaana huna timu weHehehe mi sina neno
apo sasa penalti znaendaFull time PSG 2- Arsenal 3
😀😀😀😀😀😀😀😀Yamekuwa hayooo Tena majiran zangu wa London ..Hauwezi kubeba Uefa ukitegemea winga matinelli anayezidiwa na madueke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau kupata goli labda iwe penalty, ni vile tu Psg wameweka zaidi utu mbele, ila mpk tunaenda HT ubao ulikua unatakiwa uwe unasoma 3-0 nje ya aggregate.aggregate isipokuwa 4-2 au 4-3 kama jana sijui
alafu kumbe notinham ana uefaHauwezi kubeba Uefa ukitegemea winga matinelli anayezidiwa na madueke.
Jiran wa Landon tuliaa psg akupee mmaaaaMupira wa wanaume munapeleka watoto na upinde Muna akili kweli, watoto wamevaa pampas wanaruka ruka kama ndama waliyokosa maziwa😭😭😭
😀😀😀😀😀😀😀😀 Daaaaaaaalafu kumbe notinham ana uefa
Umeona chances walizopoteza? Zile iwe Barca au Inter pale hawakuachi salamaMbona ss psg inaongoza km hawajui kufungaa mkuu[emoji848][emoji848]
Na hizi mvua mnaanza kuota mapema hv 😂Full time PSG 2- Arsenal 3
Goli mbilii mtapataa Jirani wa London ilaaa ss nao psg wataongeza mbilii ,ss hapo itakuwajeee😀😀😀Mwalimu mpaka sasa sina nongwa nae, ila tukubali tu tunahitaji world class palyers, namuangalia saka hapa, kisha namkumbuka yamal jana.. ni vitu viwili tofauti, huyu martineli ndio kabisaaa...
Game inashindwa na mbinu za mwalimu na ubora wa wachezaji. Huyu odegaard kwenye kupika ni mzembe sana, kuna moja kaingia ndani vizuri badala ya kushoot akaamua apasie pembeni 😏
Kuna siku nilisema hawa kina saka na martineli ni average players, mtu akaja kukataa mixer takwimu, ila huo ndio ukweli.
Ngoja tuone second half itakuwaje, kama wakichangamka pale goli 2 zinapatikana.