Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal anang'okaa km kawaaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Atake asitakee, UEFA sio size yao kabisa, wawapishe wakubwa. Lol
 
Mjiandaee
 

Attachments

  • GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    11 KB · Views: 32
Wanangu wa Arsenal mtanisamehe leo siko na nyie
 
Niko na chama langu PSG leo tunaenda final kibabe sana
 
Kwa hiyo huyo KENGE arteta amemuacha Trosard nje. Mnachekesha kweli.
 
Wenye uzi wao naona wamekimbia mapemaaa.... ngoja sasa sisi tutambe hapa.
 
Wazee wa kuweka mkeka kama kawa tumeshachungulia, FT game linamwagika sare.

Nauza mikeka bei poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…