Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii offside trap wanayoifanya Barca leo walimfanyia Madrid.

Alifurukuta siku ile kila akiscore offside dadeki
 
Kwa haraka haraka msimu ujao anahitajika mrithi wa partey wa kueleweka, namba 9 wakumaliza na goal 20-30 kwa msimu pamoja na winga mzuri anayeweza kuua winga zote
Wasipokuja hao watu tuhesabu kilio cha utrophyless once again
 
Inter na barca wote nyuma wapo wazi, na wote wanaombea psg apite ili fainal iwe nyepesi
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho tunaruhusu goal tatu ndani ya mchezo mmoja

Hii uefa yetu
"Inter na barca wote wanaombea psg apite ili fainal iwe nyepesi"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeeee Arsenalia kwa kujipea umuhimu usiowahusu hawajambo.
 
Hawa watu wanaongea humu kama walevi eti fainali sisi na inter alafu inter barca wote wanamtaka psg ili fainali iwe nyepesi inawezekana hawa arsenal fans kuna kilevi kingingine kikali kimeingia mjini wanakitumia maana sio kwa analysis zao hizi aisee mtu kakupiga kwako alafu anafikiria anaweza mfanyia comeback na yupo kwake really ukiwauliza nini kinawapa matumaini utaskia partey karudi

Hawa watu leo wanaweza kujinyonga seriously
 
We tuache tufanye yetu. Inter vs Arsenal UCL Final
 
City iliona mambo hayaendi. January akatumia 250M ili apate nafasi ya kucheza CL.

Arsenal tukaona mambo hayaendi. Ili kushindania kombe la ligi na CL hatukusajili mchezaji yeyote January
Kwa OIL MONEY kila kitu kinawezekana
 
hapa leo ni kushangilia yeyote atakayeshinda tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…