Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Karibuni leo mshuhudie mechi yenye ufundi mwingi toka kwa vijana wa tactician, bishoo wa comebacks za kibabe, bingwa mpya kwa mwaka 2027 AMORIN.
Karibuni matofalini mjifunze jinsi ya kucheza mechi za mtoano.
 
Nendeni mkawafundishe Loserfools waliotolewa
 
Arne Slot na kombe la EPL msimu wa kwanza Liverpool.

Kati ya Ange Postecoglue (msimu wa pili EPL na Tots) au Ruben Amorim ( chini ya miezi Saba akiwa Man U) kubeba EPL

Tukija kwetu Chelsea, Maresca na Conference League ndani ya first season.

Meanwhile humu ndani TUMEMFUNGA MADRID NJE NDANI

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Watoto ndiyo mnabishana.

Mimi najaribu kujenga hoja.

Kwa hii text yako nilichonacho cha kukwambia ni "Funga mlango wakati unatoka"
Hamna ubavu wa kuchuana na psg asenyetoz ,ninyi ni loosers ,UEFA haibebwi na loosers
Ninyi kabebeni vibuyu vya ulanzi nishawaambia ila hamuelewi
 
Kama Arsenal tutamnunua huyu Nico kwamba mi upgrade ya Martinelli tutakua tumepigwa.

Sijaona chochote ambacho media inampa hype.

Labda kwa vile ni mara ya kwanza namuangalia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye sala zenu ombeni sana dua Man Utd na Chelsea tusibebe kombe, la sivyo hili jukwaa la Arsenyo Queens litapitia dhahama kubwa sana mpaka nimejikuta nimeanza kuwahurumia. View attachment 3322235
Wewe na shoga yako kenge mchukue kombe au msichukue hayo ni matatizo yenu. Arsenal tuna yetu makubwa
 
Wewe na shoga yako kenge mchukue kombe au msichukue hayo ni matatizo yenu. Arsenal tuna yetu makubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba mbona umekua na makasiriko ghafla sana?
Siyo kwa ubaya tupeni Psg second leg tuwasadie, maana mnaonekana tayari mmeshajikatia tamaa mapema kabisa.
 
Kama Arsenal tutamnunua huyu Nico kwamba mi upgrade ya Martinelli tutakua tumepigwa.

Sijaona chochote ambacho media inampa hype.

Labda kwa vile ni mara ya kwanza namuangalia
Nico ni mtu haswa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…