Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wenyewe chagueni wa kujutana nae hapa leo kma mtapita maaana sioni hata kma mnamuweza mmoja wapo hapa
 
 
Mkuu hii hali hara mimi huwa inanitokea mara kwa mara aisee🤔


Labda ni mambo ya relativity (hata siijui vizuri hii theory).Labda inawezekana kama tumeshaishi maisha tunayoyaona sasa hivi ila hatukumbuki tu na ndoto ni njia tu ya kutukumbusha ya mbele yajayo. Imagine kama miaka 20 mbele huko tayari ishatokea sema hatukumbuki tu...

Itapendeza sana ka Arsenal tayari tushabeba kombe halafu hatukumbuki tu ya mbele na tunajistress tu bure hapa.
 
Inter wamemaster hii mbinu ya kukususia possession halafu wanafocus na kutafuta matokeo.

Walitunyoosha na plan hii hii
 
Saka anafanya vitu basic precisely hana kuremba.

Yamal anafanya vitu basic precisely na anaweza kukurembea mpira. Akiwa consistent barca wana bonge la winger
 
Inter kipa wao angekua Wojciech au Onana ingekua ni kilio na kusaga meno
 
Kuna mbuzi aliliwa mkeka jana na akawa ameyaamini maneno ya hydroxo kwamba barca anatoboa na leo ameliwa tena.
 
We ni kenge
 
Notice no one hatowashangaa Inter kumfunga Barca.

Wala hakuna atakayeshangaa Barca kushindwa kumfunga Inter.

It's all routine mpaka big team icheze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…