Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama unataka kuangalia highlights ya hili game, bc hakikisha huangalii kupitia Akaunt za fans wa arsenal Au arsenal wnyw mana wataficha Unyama wa psg hasa wa Donna πŸ˜‚
 
Kuwapiga hawa tutawapiga tu.
Hamna huo uwezo it's very clear mbona mapenz yatakutesa shida watu wana relay kweny game ya Madrid hao ni wabovu kuwapiga sio kujiweka fake fantasy kuwa mshabeba kombe noo wame bondwa 4-0 3-2 5-2 na Barcelona aggregate 12-4 si mmepiga bomu mochwari

Hawa psg mkiwatoa sasa hapo ndio mtu unaweza sema nime mtoa mtu na sio mgonjwa
 
Kwisha habari yenu πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…