Zile rafu alizokua anacheza Timbulo hakustahili kumaliza dakika 45 bila ya kula umeme, yaani Kvicha alichokua anamfanyia ni sawa na mama Fatuma anavyo vigeuzaga geuzaga vitumbua na spoku.