Huyu mpumbavu huwa anainua kichwa baada ya kupiga mpira, yaan wakati anapiga mpira anakuwa hajui hata anapiga wapi... na hili ni tatizo lake la miaka yote
Yule linesman alikuwepo mita moja kutoka eneo la tukio lakini bado akasema Saka kacheza faulo. Ingekuwa EPL ningesema ni chuki ila huyu itakuwa ana stress zake tu.
Bado game iko wazi kwa arsenal advantage ya nyumbani atmosphere imewa motivate dakika za mwishon wajaribu japo kitu na kwa asilimia zake ineonyesha matumaini ya kupindua meza leo kama kawaida wazee wa GG Tunasubiri jambo letu tulijua psg hawez kosa goli kamwe bado wazee wangu hawa wamalizie jambo