upuuzi ndio kama huu sasaIfikie wakati tuwe tunacheza bila kujali mwingine anatakiwa apate matokeo gani. Msimu wa tatu mfululizo hatujifunzi hiki kitu.
Na tusipojifunza msimu huu basi tusikasirike spurs anachofanya View attachment 3318856
Hao waache tu. Wanafikiri sisi hatuna vyetu vya kusherekea na kufurahia . Kesho timu ya wanaume nayo inaingia fainali na tutafurahia na hilo pia.Arsenal women kufika fainali CL ni hot topic kuliko ubingwa we EPL.
Ndiyo sababu wanakasirika wanatulazimisha tuwaacknowledge kwamba wapo
ENGLAND kombe la heshima ni EPL ndio maana liverpool tuna uefa nying lakn heshima haipoMbona makasiriko mama, sis huku timu zetu zote mbili zinaelekea kwenye climax ya kutupa furaha kubwa sana kiasi kwamba vilabu vingine vyote vitatuonea wivu.
Vuta picha hilo parade lake litakavyokuwa baada ya timu zote mbili kutawazwa wafalme wapya wa ulaya.... vibe lake ni zaidi ya hicho kiEPL mlichochukua kwa msaada wa PGMOL
Nyie timu yenu ya wanawake(liverpool women) haijawahi hata kushiriki WCL na ndio maana huna habari nayo.
subiri dozi ikuingie utaponaupuuzi ndio kama huu sasa
Arsenal hatuna changamoto na domestic trophies.ENGLAND kombe la heshima ni EPL ndio maana liverpool tuna uefa nying lakn heshima haipo
😂😂😂😂😂😂😂Ni aibu kubwa wanaume ligi imewashinda mnabadilisha gia hewani kujidai ni mashabiki wa ligi ya kina Mama😂
kwamba kubashiri ni ajira?Arsenal win, place 1 million
Tatizo la ajira dunia ya leo ni kujitakia tuView attachment 3319565
Huyu jamaa aamshwe kabla hajaleta madhara, ....... maana hii ni ya kubwa kbs.Arsenal one of the best 4 teams in Europe, after one week we could be one of the best two teams in Europe, as are our women team.
Ukishinda bet haifai kuwa mtaji?kwamba kubashiri ni ajira?
Chief unamwili ambao nyongo yake haijafungwa vizuri, jambo kidogo ishamwagika.Online kuna debate imepamba moto.
Watu wanadebate ikiwa watu wazima 100 wanaweza kumpiga sokwe mmoja.
Entirely overlooking kuna timu imeshinda kombe la ligi
Walimkalisha kihalali kabisa.Wanawake wametoboa 💪💪View attachment 3317838
No, Arsenal haideserve kombe lolote msimu huu.Chief unamwili ambao nyongo yake haijafungwa vizuri, jambo kidogo ishamwagika.
Naona bado roho inakuuma. unadhani unadeserve ile nafasi?
Gape la pts 15 na bado tuliaminishwa ninyi ni macontender. Watu walifikisha points 97 na bado wakawa nafasi ya pili pia washafikisha point 92 na bado wakawa nafasi ya pili.
Hamna hiyo quality mnadanganyana humu ndani ndio maana watu kama kina Flano ,Labyrinth 84 , fuentte wamegeuza huu ni uzi wa kuja kuondoka stress zao za maisha.