Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ni miongoni mwa wenye fikra potofu.
 
Kuna muhuni huku alikua anawapa matumaini kwamba kufikia Februari Arsenyau ingekua juu ya Liverpool
 
Siku hizi wameacha kufananisha makocha wao na Arteta. Huu ujinga walikua nao nyumbu na kenge.

Wakamleta hadi De Zerbi kwenye huu mkumbo.

Kenge wameacha kumfananisha Palmer na Saka.

Opposition is too quiet. Comparison ends violently wanarudi field kutafuta mwingine wa kumfananisha.
 
Hua nikisema kwamba hasimu wa Arsenal ni Spurs muwe mnaelewa.

Spurs, kwa sasa alipo hashuki daraja na hawezi kufikia top four. This means anatakiwa afocus na Europa zaidi kuliko ligi.

It also means akifungwa na Loserfools leo Jpili ni Arsenal ndiyo tutatakiwa kufanya guard of honour kwa Loserfools.

Now imagine these scenes.

Spurs anafungwa ili afocus na Europa halafu anaenda kunyanyua Europa. Kisha, Arsenal tunafanya guard of honour kwa Loserfools halafu CL tunazingua.

Kwa ambao ni wageni haitakua mara ya kwanza kwa Spurs kujiangusha ikatokea wanatakiwa kushinda ili advantage iwaendee Arsenal. Wamewahi jidondosha game ambayo wangeshinda wanaenda UEFA 😅

So, wale wenye hasira ya kufanya guard of honour kazi ipo.
 
Europa Atletico bilbao

Uefa Arsenal
 
Spurs walaini sana kwa timu isiyo Arsenal.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwaka 2020 Arsenyau hapohapo nyumbani kwenu mlipanga mistari kulia na kushoto na kuanza kuwapigia makofi ya pongezi wanaume wakiwa wanaingia uwanjani.
Mwaka huu tena hapohapo nyumbani kwenu mtapanga mistari tena na kuwapigia makofi wanaume walewale mliowapigia makofi 2020.
Timu la liwaki sana hili, kazi kuwapigia makofi tu waume za watu, ila kubeba kombe aaaahhhh.
 
Rudiger ni mpuuzi miaka yote.

Hichi alichofanya jana wazungu watasema kwakua ni mweusi.

Weusi watasema kwakua ni muislamu.
Yupo katika nafasi ngumu sana-- wajerumani wataongeza kua ni migrant -- akaze tu kijasiri🤣
 
Hivi ni nani huwa anawafananisha?? Kwa mafanikio gani Arteta aliyonayo mpk afananishwe? Au wanafananishwa kwa creteria gani? Mana mpk sasa Saka na Arteta wote ni mafailures.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…