Yeah ni serious issue.Alivyoomba sub jana ilikua ishu serious kumbe?
But defense yenu isipojikaza Lautaro siyo mbaya kabisa mbele ya goli. Forward yenu ipo vizuri ila defense yenu inaruhusu magoli mengi
Lewandowski huyu wa sasa bado ni bora kuliko Vinicius na Mbappe. Ambacho sielewi ni mlimuongopea nini akakubali kuja kwenu 😅Yeah ni serious issue.
Anaweza akawa out for 2 to 3 weeks.
Defence yetu majanga sana mda wowote inakupa maumivu.
hapana ngoja nimtafuteUnamjua Alisha Lehman?
Oya hatari. Ana sura na kashape hatarihapana ngoja nimtafute
Hii ishu inachanganya.
Umerithi maigizo ya Ali2-2 FT
huo ni mkeka nilio wekaUmerithi maigizo ya Ali
Bado 2 za Ipswich2-2 FT
😁 2nd halfBado 2 za Ipswich
Ipswich imepata red. Itapata goli mbili kwelihuo ni mkeka nilio weka
nimeingia mkenge mapemaIpswich imepata red. Itapata goli mbili kweli
Kolo Muani ni mzuri. Ana nguvu na kasi na akili. Kama tutaweza kumsaidia arudishe confidence, kweli atatufaa. Nico Williams kwa kidogo nilivyomuaona nafikiri kwenye attack na take-ons yuko vizuri zaidi ya Martinelli ila kwa defensive contributions na general work rate, sidhani kama anamfikia. Ndiyo maana ningependa tuwe nao wote wawili wapeane changamoto viwango vyao wote vipande.Mbeumo yuko vizuri. Too bad sijawahi kumuangalia Williams game nzima huyu sina cha kusema. Ila nasikia ni kama Martinelli aliyechangamka.
Kuna mshkaji anaitwa Kolo Muani, he started better ila baada ya mechi ya world cup alivyokosa goli akawa hayupo sawa pia Juve wameamua wamuweke benchi na wamchezeshe Dusan zaidi ili bei ya Dusan ipande wamuuze.
Kama kuna namna ya kumrudishia kujiamini Kolo Muani siyo mbaya plus tutampata cheap