ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,601
- 2,274
Kabla sijasahau wee CHURA.....Hivi mnaamini Arsenal mtabeba ubingwa?! embu acheni masihara tangu lini mkawa serious kubeba ubingwa!!
Mara hii mmeshasahau nyie mmelaaniwa!!
Mkibeba ubingwa niitwe Chura nimekaa palee.
Sijawahi kutumia neno overload.😛 😛 😛 Yaani we jamaa na United hampatani kabisa. Kwenye kila story ya man united lazima utafute neno la ajabu kutushusha tu.
Nakumbuka game ya kwanza tulivyokuwa tunawabana kabla hamjafunga yale magoli yenu ya bahati ya kona kicks, katika uchambuzi wako ulitumia neno SWARMING ila uchezaji ule ule kwa arsenal unatumia neno OVERLOADING.
Ilimradi united tuonekane hatuko level yenu tu.
Haiwezi kutokea, labda kama nyie sio Arsenal naewafahamu. Kama kuna mtu anaamini Arse88 atabeba UEFA akapimwe mkojo.Kabla sijasahau wee CHURA.....
Ephraim Mapunda unazingua.Haiwezi kutokea, labda kama nyie sio Arsenal naewafahamu. Kama kuna mtu anaamini Arse88 atabeba UEFA akapimwe mkojo.
Arteta anacheza tu na akili zenu kila msimu. Baadhi ya mashabiki wa Arsenal wenye akili vizur watanielewa nachosea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda wabebe ubingwa wa nafasi ya 2, ili Arsenyau abebe kombe labda tuziombe kamati za FA na Uefa waanzishe utaribu mpya wa kugawa makombe mawili kwenye ligi zao, iwe mshindi wa kwanza anapewa kombe na alishika nafasi ya pili pia awe na kombe lake.Hivi mnaamini Arsenal mtabeba ubingwa?! embu acheni masihara tangu lini mkawa serious kubeba ubingwa!!
Mara hii mmeshasahau nyie mmelaaniwa!!
Mkibeba ubingwa niitwe Chura nimekaa palee.
😀 😀 Swarming ni aina ya ukabaji ya kimtaani au timu zisizojua boli kwa kuutumia wachezaji wengi kumzonga mwenye mpira na kwenda kila mpira ulipo. Yaani unakuta wachezaji hata watano wamemzingira mwenye mpira na kila mpira utapo hamishwa nao wanahama nao, kama nyuki vile.😛 😛 😛 Yaani we jamaa na United hampatani kabisa. Kwenye kila story ya man united lazima utafute neno la ajabu kutushusha tu.
Nakumbuka game ya kwanza tulivyokuwa tunawabana kabla hamjafunga yale magoli yenu ya bahati ya kona kicks, katika uchambuzi wako ulitumia neno SWARMING ila uchezaji ule ule kwa arsenal unatumia neno OVERLOADING.
Ilimradi united tuonekane hatuko level yenu tu.
Arsenal: kiwanda cha washindi. Tuna export mabingwa kwenda timu zote Ulaya na duniani kwa ujumla, na sasa tumeamua kuanza kuchukua ubingwa wenyewe. Wapinzani watatukoma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie Kima najua kabisa nyinyi ni wasindikizaji na lazima mtatuangusha.
Hivi mmeshavuta picha msimu huu makombe ya Uefa, Europa na Conference Leagues yote yakitua England tutakua tumeiheshimisha Epl kwa kiasi gani?View attachment 3308307
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] HENRY14 naona umeamua kuikamatia mikoba ya Masingeli ya kuendeleza false hopes humu, mimi nakukumbusha tu kila lilipokua linakuja suala la ubingwa Masingeli alikua analiongelea kwa overconfidence zaidi yako, ilifikia kipindi Masingeli aliwashawishi misukule yake humu kununua mpaka sare ya vijora vya kusherehekea ubingwa wa Epl 2023/2024Arsenal: kiwanda cha washindi. Tuna export mabingwa kwenda timu zote Ulaya na duniani kwa ujumla, na sasa tumeamua kuanza kuchukua ubingwa wenyewe. Wapinzani watatukoma.
Mikoba ya Hamisi kaichukua mkorea na yuko sahihi. Arsenal ya sasa si ile ya miaka 10 iliyopita. Sasa tunaandamwa na FA na PGMOL na majeruhi kedekede ila bado tunaupiga mwingi.HENRY14 naona umeamua kuikamatia mikoba ya Masingeli ya kuendeleza false hopes humu, mimi nakukumbusha tu kila lilipokua linakuja suala la ubingwa Masingeli alikua analiongelea kwa overconfidence zaidi yako, ilifikia kipindi Masingeli aliwashawishi misukule yake humu kununua mpaka sare ya vijora vya kusherehekea ubingwa wa Epl 2023/2024
Kilichokuja kumkuta Masingeli hata kuingia kwenye hili jukwaa sasa hivi anaingia kwa kuibiaibia, maana kuna wananchi wenye hasira kali humu muda wote wamebeba vitu vyenye ncha kali wanamsubiria kwa hamu asogeze tu uso wake wale nae sahani moja.
Nahofia na wewe yasije yakakukuta tu kama yaliyokumkuta Masingeli, maana hili timu lenu kwa kweli sio la kulichukulia dhamana kabisa linapokuja suala la kubeba kombe. View attachment 3309079
Naam.Msikose kutazama mtanange mkali Arsenal W vs Lyon W saa 8.30 mchans wa leo. Semi final UEFA
Kila la heri kwa wanawake wetu. Lyon ndiyo wanawake version ya Real Madrid ya wanaume kwenye UCL, yaani ni kama lao na UEFA wanawake wanaweza hata kulibadilisha hilo kombe jina liitwe UEFA LYON LEAGUE.Msikose kutazama mtanange mkali Arsenal W vs Lyon W saa 8.30 mchans wa leo. Semi final UEFA
Pale kwa Mead angeanza Kelly, shughuli ingekuwa pevu haraka
We mbona ni chura hata kama kabla hatujabeba huo ubingwaHivi mnaamini Arsenal mtabeba ubingwa?! embu acheni masihara tangu lini mkawa serious kubeba ubingwa!!
Mara hii mmeshasahau nyie mmelaaniwa!!
Mkibeba ubingwa niitwe Chura nimekaa palee.
Mi pia naona bora kelly angeanzaPale kwa Mead angeanza Kelly, shughuli ingekuwa pevu haraka
Katoka injury huwezi jua, yupo bench sub baadae.Pale kwa Mead angeanza Kelly, shughuli ingekuwa pevu haraka
Mtoto mzuri ila golini nahisi atakuwa anatuangusha.Zinsberger hapana