Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeniudhi na sasa nafanya kama Hamisi nakupa laana usiingie top 13 ya EPL na leo Lyon akutoe ili usiingie Ulaya msimu ujao. Na kwa hasira hii hii, hili kombe tumeamua kuwa tunalibeba sasa.
Kwa hio kwa makusudi kabisa umeamua kutunyima kombe letu mabingwa wa Europa 2024/2025?


#tukutane Uefa msimu ujao
 
Kinacholeta utamu zaidi sio tu kufika nusu fainali... bali tumefika nusu fainali kwa kumtoa bingwa mtetezi ambaye ndio baba wa michuano na tena tumemguza kama chapati za mama Kuluthumu.

#COYG.
Sana tu.
 
Na mafanikio ya mashabiki ya Man U ni nini? Timu yao kuingia top 10 EPL?
Kijana acha kuwafokea mabingwa wa Europa.
Ikifika May ndio utajua tofauti ya mafanikio ya Man Utd mabingwa wa Europa 2024/2025 na Arsenyau bingwa wa top4 na uefa semi final.
 
Ile Madrid ya akina Ramos ilikua kali sana na hawakuogopa Red Card
Kwa dakika mechi ilipofikia, aggregate na current score ya dakika zile ingekua dumb kutafuta red ambayo itafanya usicheze mechi tatu zijazo mkirudi CL.

Beki alikua sahihi kutofanya faulo
 
Merino ndio option
Hapana, Kilichoiua Madrid ni ile ya kuwapo Partey, Odegaard na Rice pale kati, halafu Merino yuko pale mbele na anarudi kusaidia midfield. Ndio maana Madrid kina Bellingham, Tchounamen, , Camavinga na Modric wali sanda.
Kocha anatakiwa kumtumia Joginho au Calafiori pale kati game ya kwanza na PSG. Sub baadae amlete Zincheko.

Game ya marudiano arudishe winning team na midifield iliyoanza na Madrid game zote mbili.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Kwa hiyo bora Hamisi abaki huko huko alikojichimbia mpaka tubebe kombe kwanza?
 

Msimu wa ze gunners kupeleka kombe London!
viva Arteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…