Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,810
Nilikosea hapo mkuu ni PSGNani amekwambia?
Nilikosea hapo mkuu ni PSGNani amekwambia?
Anastruggle nacho tangu zamani. Kushuti ni mvivuHuwez jua, ku-shoot inahitaji timing na ndio kitu bado ana struggle nacho, sio kama hawezi
Huoni ata kutafuta mashimbo yupo hovyo, hana penetration pass za hatari
Ndio hiyo mkuu,sio Psg?
Alaf hana hata technique ya kumzuga kipa, yaan anaonyesha kabisa anapiga upande ganiPenati za Saka hazina tofauti na Aziz Ki. Kipa akiotea upande lazima aipangue.
Wanapiga chini, wanapiga karibu na kipa.
Bayarn wanamtaka demu wao Arse88, wameshatia dudu.Kule Italia napo mambo hakuna kwa hakuna. Sio Inta wala Bayani ila statistics zinaonesha Bayani anatafuta goli na Inta kabana
Watakutana Fainali wakimchomoa BarcaBayarn wanamtaka demu wao Arse88, wameshatia dudu.
Game haijaisha hii, Inter V/s BayernWatakutana Fainali wakimchomoa Barca
Inter wa moto.Game haijaisha hii, Inter V/s Bayern
Kiko wapi, ashapigwa 2, mlima ushakuwa mrefu. .Bayarn wanamtaka demu wao Arse88, wameshatia dudu.