Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa Norwich ni kuwapiga magoli, yaani wanakosa magoli kibao .... ..... .....
 
duu ngoja tuone nini kitaendelea wacha1 naona jamaa zako wametangulia dk ya 17
 
mi huyu mtu anaitwa RVP namuogopa balaa asipo umia anaweza kuchukua kiatu maana anatupia huyu hata asernal ifungwe nane..
 
Mbona mzee anatikisha kichwa ina maana alikuwa anataka waongoze kabla ya half-time alikuwa anataka nini???
 
tunashinda game hii ... acha vijana warudi kipindi cha pili na mawaidha ya wenger .....

norwich watabana wataachia
 
Back
Top Bottom