Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Time to move on Gunners for life .... ..... .... tunategemea kumwona Jack next month pale katikati patakuwa poa sana ... ..... ..... ..kibaya zaidi mechi ya Mancs inakuja mapema lakini tutawatoa nishai tu.
 
Mkuu nikisikia habari hizi nafarijika sana
 
Kwani hao waliondoka wamefanya maajabu gani mpaka sasa? Wao walitaka kuondoka sababu ya pesa, chama Arsenal itaendelea kuwepo hata RVP akiondoka, ukipenda chama kipende kwa mazuri na mabaya, sio lazima kuipenda timu ambayo bingwa kila mara. Sio kwamba hatujawahi kushinda vikombe, usiwe obsessed na vikombe kama media za UK zilivyo, kama kweli wewe ni mpenzi wa football, nakuomba uelewe vikombe ni zawadi ya mwisho kwa timu zinazoshindana, ila isiwe kisingizio cha kuponda timu yako!
Mie naamini tutashinda hivyo tena karibuni, swala ni kuwa na faith tu, ila mwenzetu Mphamvu wewe ni kuponda tu! Hata kama mambo yanaendesha fresh sasa sioni sababu ya wewe kama kweli ni gooner kuendelea kuwa cynical!
Swala muhimu kuliko lote kwa Gunners ni financial stability, na sio kujiweka kwenye madeni yasio na mpango kwa kuwalipa pesa nyingi wachezaji.
Wenzako tunaridhika na kuendelea kuwa support Gunners as true fans, in whatever situation we are in!
Maybe you should as well.
Sidhani kama suala ni wanachofanya sasa hivi, bali ni madhara gani yalitokana na kuondoka kwao... Hleb, Flamini, Kolo, Samir na wengine, kuondoka kwao kumekuwa big blow kwa klabu. nadhani mwenyewe umeeona jinsi gani defence ya Arsenal haijatulia tangu Kolo aondoke... Kuhusu makombe shaka ondoa, hiyo ndo desire ya kila shabiki, kocha na mchezaji. Uliona wapi katika soka mafanikio yakapimwa kwa pasi? Hata wenger akitaka kuwafariji mashabiki wa Arsenal huwa anaahidi makombe... sitaacha kusema ukweli ati kisa wewe na Wacha mtasema mimi siipendi Arsenal.. ebo?
 
Haya bwana,kuna ukweli inside but acheni malumbano manake sasa twagombana wenyewe kwa wenyewe!
 
Haya bwana,kuna ukweli inside but acheni malumbano manake sasa twagombana wenyewe kwa wenyewe!
kweli mkuu ... lets just enjoy the game....

in-arsene-we-trust.jpg

Haya bwana,kuna ukweli inside but acheni malumbano manake sasa twagombana wenyewe kwa wenyewe!

copy! ila wacha ananikera sana, kwanza font zake zinaumiza macho, ile miandishi yake ya khe khe khee... ananichefua sana! i wish ningemweka kwa ignore list lakini nitamiss michango yake!
 
copy! ila wacha ananikera sana, kwanza font zake zinaumiza macho, ile miandishi yake ya khe khe khee... ananichefua sana! i wish ningemweka kwa ignore list lakini nitamiss michango yake!
Sana tu,Tikala malamu!
 
Time to move on Gunners for life .... ..... .... tunategemea kumwona Jack next month pale katikati patakuwa poa sana ... ..... ..... ..kibaya zaidi mechi ya Mancs inakuja mapema lakini tutawatoa nishai tu.
Jack-Wilshere-007.jpg

The Arsenal midfielder Jack Wilshere has said he is ready to step up his recovery from ankle surgery and that he wants to stay with the club for ever. The 19-year-old, who has not played for the Gunners this season, says he aims to "create something special" in the coming years.

When asked if he wants to stay with Arsenal for the rest of his career, he said:
"I promise that. I've been at the club since I was nine and learned to love it. From the [Patrick] Vieira days, to [Dennis] Bergkamp, [Cesc] Fábregas, I've watched them come through and move on. There's a crop of new players, [Aaron] Ramsey, myself, Kieran Gibbs…hopefully we can really create something special. I love the club and I want to be part of its future."

cmuombei mabaya lakini mimi naona kama ndo atapotea kabisa kwenye form yake!!!

roho inauma kaka, mtu unafanya mambo ya ukweli kwenye klabu yenye washabiki dunia nzima, inayojaza uwanja kila mwisho wa wiki. halafu pesa unayolipwa ni thuluthi ya pesa anayopewa mtu wa kiwango chako kule etihad, halafu bado chama lenyewe halina dira wala mwelekeo wa kuchukua taji lolote, sitaki kukumbuka taji la carling lilivyoponyoka that day! kimsingi career yako inakuwa ime-stuck, stil timu inazidi kuuza nyota, which means hawana mpango na kombe lolote! if i were the frenchman, id have done that long ago!
 
gooners... wamenizoesha vibaya ... kila weekend tunagawa kichapo, weekend hii itakuwa kama msiba hakuna EPL
 
Back
Top Bottom