Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😹😹 subiri uone kitakachowakuta leo hao Madrid..!!
 
Nwankwo Kanu speaks:It is very unbecoming that Real Madrid thinks that they are only the team that is ready to play the game on Wednesday.
I have been reading the players statement on coming back to the game to beat Arsenal,and I am tempted to ask,are they going to be the only players on the pitch?
This is a game of 11 vs 11 men on that day.

However,I am impressed the way and manner Arsenal players have managed it’s cool by not speaking to the press but working hard to move to the next stage of the UCL.


Well Said Legend.
 
Bruv Madrid inacheza kwa makosa. Games zao ukiangalia unajiuliza wanapinduaje meza bila mkono wa marefa. Na hapo ni wanacheza na vilabu ambavyo havina better defence
 
ni ngumu sana madrid kurudi kwa sababu hawawez kutupa mechi ngumu kabisa,hawawez kutuweka kwenye pressure ambayo city wanatuwekaga,kwenye timu zote zilizobakiwa nane bora,sisi nachangamoto zetu za kukosa foward tupo compactible zaidi ya timu zote
Kuna Inter Milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…