Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haramu football kutoka kwa Artetalliban.

Tunaenda kumfanya Diego Simeone ajione ni amateur kwenye defending
 
Wanawake wa Leicester City sijui wamewakosea nini wanawake wetu. Dakika ya 30 tu sasa warembo ya Slegers washawapiga 3 - 0.
 
Aisee nyie viazi mtapgwa km ngoma, na madrid wapo serious, wanawafungia humo humo ndani mana wanajua kipondo heavy watakachokitoa kikizid hamchelewi kukimbia.

Na baada ya dk.90 hatutataka visingizio vya refa umbwa nyie. mmewachokoza wenyewe, hakuna aliyewatuma.
 
Tunza risiti tukutane kesho hiyo
 
Arteta has totally changed our life..
Rivals wetu wamegeuka kua motivational speakers..

Everytime scare us about Madrid..Mpaka Sasa they don't believe Modric,Jude na Camavinga were pocketed na Partey..

Leo tena tunaenda kupiga pale pale panapouma.🫣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…