Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku hizi utaona mtu anakuja na takwimu zake anafananisha hawa players na Lewandowski, Messi au Ronaldo.

Kisha unakutana na Saka na ile hesitation iliyompata kushoot unaona ni upuuzi tu
 

Hapa vipi
 
Martinelli ni average/squad player. LW inahitaji mtu bora zaidi this summer, tena aingie moja kwa moja kwenye kikosi.
 
Wanangu na leo mumelimwaga tena, kweli mnataka kombe kubwa EPL hamna time nalo
 
Hawa hawana hata haja ya kukutana na hao ma-giant wa UEFA. Wangekutana na A. Villa ndio wangejua hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…