Yani weee lihuni lihuni sana 😹😹Sasa we hata ikiwemo unapungukiwa nini, si unazungusha nyonga tu ili kupUnguza muda wa kukaa juu 🤣😂, dk 5-7 wazungu hawa hapa. 🤣
Hakuna mtu safi kama mimi.Yani weee lihuni lihuni sana 😹😹
Watu wanaojifanya role model wao 2pac mna uhuni mwingi…!! Shenzy 🤣
😹😹😹 Uongo nimekataa..!!Hakuna mtu safi kama mimi.
Thug love.
Siwezi kukushikia fimbo ili uamini, kama hutaki sawa.😹😹😹 Uongo nimekataa..!!
Tunabeba mkuuAseno muwe na akiba ya maneno sasa!
Hivi ikitokea mmeshinda kombe lenyewe si mtasema UCL sio size yenu kabisa!
OMben aje Villa sio Psg mkuuAje psg nusu fainali, aston villa anakuaga mchawi mchawi sana
Fainali namtaka barca. Arsenal kiboko ya mabishoo
Dada angalia kauli.Washika mitutu kazi yetu ni moja tu kulenga wote wanaokatiza..!! 😹😹
Chama ni moja A R S E N A L pah pah 🔫
Mama Mfuga wezi.Kwa ushindi wa jana, aisee mitano tena kwa mama 😎
nyinyi si mpo robo final kwani final mshaingia mara hii😂😂final tutakuwa na inter milan simuoni barca wa kumtoa inter milan
Villa safari yake ndio imeishia hapa, na anapigwa home kwake pale chuma 2 au 3 tena,, wajalibu tena mwakaniHawa PSG baada ya game ya jana hawana tena mechi yoyote mpaka wiki ijayo wanapokutana tena na Villa waliowapiga 3 - 1.
Wakati huo huo Villa atacheza na Soton tarehe 12 halafu tarehe 15 anatakiwa akutane na PSG kuwalipa hiki kipigo.
Huku kwingine ni Arsenal ana mechi tarehe 12 dhidi ya Brentford halafu tarehe 16 ana mechi dhidi ya Madrid. Yeye Madrid ana mechi tarehe 13 dhidi ya Deportivo Alaves halafu on 16th anatakiwa kufanya comeback dhidi ya Arsenal.
Hii ratiba inampika Villa
Nah bro.Hawa Barcelona wanapiga mpira aisee. Natamani tukutane nao fainali ikiwezekana ili tujipime nao. Tukiwapiga tunabeba kombe na wakitupiga tunakuwa tumepata somo zuri na tumaini ni tutaboresha kikosi kwa ajili ya kupambana na upinzani wa level ile, kwa msimu ujao.
Jidanganye.Nah bro.
We have the best defense in the world.
Zile goli za counter watazikosa utashangaa
Kabishane na takwimuJidanganye.