Kwani hao waliondoka wamefanya maajabu gani mpaka sasa? Wao walitaka kuondoka sababu ya pesa, chama Arsenal itaendelea kuwepo hata RVP akiondoka, ukipenda chama kipende kwa mazuri na mabaya, sio lazima kuipenda timu ambayo bingwa kila mara. Sio kwamba hatujawahi kushinda vikombe, usiwe obsessed na vikombe kama media za UK zilivyo, kama kweli wewe ni mpenzi wa football, nakuomba uelewe vikombe ni zawadi ya mwisho kwa timu zinazoshindana, ila isiwe kisingizio cha kuponda timu yako!
Mie naamini tutashinda hivyo tena karibuni, swala ni kuwa na faith tu, ila mwenzetu Mphamvu wewe ni kuponda tu! Hata kama mambo yanaendesha fresh sasa sioni sababu ya wewe kama kweli ni gooner kuendelea kuwa cynical!
Swala muhimu kuliko lote kwa Gunners ni financial stability, na sio kujiweka kwenye madeni yasio na mpango kwa kuwalipa pesa nyingi wachezaji.
Wenzako tunaridhika na kuendelea kuwa support Gunners as true fans, in whatever situation we are in!
Maybe you should as well.