Hii game ya Palace na Brighton ina red cards 3, 2 kwa Palace, 1 kwa Brighton. Dk 12 za nyongeza, zimebaki 5. Yaani Palace walikuwa wamalize hizo 12 na watu 9 tu uwanjani ila Van Hecke akaamua kuchukua na yeye kadi yake nyekundu.
Bado Palace anaongoza 2-1