Waooooh!!!!Tumechomoa zile mbili!!!!Wanawake wetu washawatoa wanawake wa Madrid huko. Semi final itakuwa na Lyon ambao nakumbuka walikuwa maarufu kwa kupiga ball hatari. Kila la heri kwa Arsenal, tufike fainali.
Kazi ipo kwa timu ya wanaume pia sasa.
Uwanja wao ulikua mbovuWaooooh!!!!Tumechomoa zile mbili!!!!
Si mchezo
Sijui kwenye kombe walituoteaje?Nilitamani niione hii game, maana lile pira alipigiwa Liverpool wanawake siku ile si mchezo.
Game za wanawake zinavutia sana kuzitizama, nimetokea kuwa shabiki wa soka la wadada siku hizi.Nilitamani niione hii game, maana lile pira alipigiwa Liverpool wanawake siku ile si mchezo.
mzee raphinha huyu huyu wa Brazil?, basi hauko serious🤣😂.Kabla ya mechi ya Brazil na Argentina, wakati wa mechi na baada ya mechi nafikiri ni sahihi Arsenal hatukumsajili Raphinha
Huenda wewe ndio hauko serious kabisamzee raphinha huyu huyu wa Brazil?, basi hauko serious🤣😂.
arsenal hatuna mtu wa hivyo mzee, yule ni pro sio amateur wetu kina harvetz, martineli
Ndio mpira.Sijui kwenye kombe walituoteaje?
Unaona ufundi wa mpira na ufundi wa Mwenyezi Mungu 😂🤣Game za wanawake zinavutia sana kuzitizama, nimetokea kuwa shabiki wa soka la wadada siku hizi.
Arsenal imejitahidi kua na wachezaji ambao hawawezi mwambia mpinzani 'Fuc..k you'mzee raphinha huyu huyu wa Brazil?, basi hauko serious🤣😂.
arsenal hatuna mtu wa hivyo mzee, yule ni pro sio amateur wetu kina harvetz, martineli
mkuu hiyo ni derby na uki fatilia ni battle tu ya muda mrefu baina ya wachezaji, so kawaida.Arsenal imejitahidi kua na wachezaji ambao hawawezi mwambia mpinzani 'Fuc..k you'
Kuna kipindi Barca walitaka kumuuza Raphinha, akagoma kuondoka akaturn up ndiyo leo inakupa jeuri ya kusema Arsenal hakuna mtu kama yeye.
Is he good? Yes
Namna yake ya kuinteract na mashabiki umewahi isoma sehemu?mkuu hiyo ni derby na uki fatilia ni battle tu ya muda mrefu baina ya wachezaji, so kawaida.
huja angalia namna wa Argentina wali kuwa rough pia?
Mmeamua kujiliwaza huku lakini the sad ly hata huku mtatoka patupu (with zero trophy). Au unabisha?
Hua naona ugumu kukujibu kitu kwakua una tabia ya kuhamisha magoli, haujui unachotetea, you tend to be all over the place with quotes ambazo hazimake sense.Mmeamua kujiliwaza huku lakini the sad ly hata huku mtatoka patupu (with zero trophy). Au unabisha?
Ugumu lazima uwepo unaweza mkujibu vipi mtu ambaye tayari ana kombe 😆.Hua naona ugumu kukujibu kitu kwakua una tabia ya kuhamisha magoli, haujui unachotetea, you tend to be all over the place with quotes ambazo hazimake sense.
Arsenal Women anamface Lyon. Lyon ni Real Madrid ya female football, but Arsenal kashamfunga Lyon 5 - 1, Arsenal ishachukua UEFA, ikichukua na hii inakua kombe la pili.
Nini kinafanya uhisi Lyon atatoka kwa Arsenal?
Ndiyo maana nasema una matatizo ya kuhamisha magoli.Ugumu lazima uwepo unaweza mkujibu vipi mtu ambaye tayari ana kombe 😆.
Hapo kwenye arsenal kashachukua uefa rekebisha sema ivi “ Arsenal ya wanawake ishawahi kuchukua uefa ya wanawake “ sasa unataka ku generalize kua arsenal kachukua uefa , mpaka kesho watu wote wanajua arsenal hana uefa !! Ushahidi huu hapa chini😂😂