Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili genge lenu la wauza viazi ndio mnajiita kiburi kwamba mtachukua Kombe la UEFA ?
 
Umehamia majukwaa ya dini siku hizi.
Njoo mfarijiane hapa na wanao kina mkorea.
Flano jamaa karudi
Kule kwenye dini kuna mfaa, huku anatupigia kelele tu.

Mara ya kwanza kabla sijamuona kwenye majukwaa ya dini, hapa nilikuwa nasema huyu jamaa ana fix na anajua kuwajaza watu, anafaa kuuguza mgonjwa hata wa kansa.
Nilipomuona kwenye jukwaa la dini nikajisemea ewaa, kwa imani kali ya mchizi kama sio shahidi wa yehova basi mlokole huyu 😂🤣🤣
 
Tunajisahau. Tayari tunajua marefa na VAR wako dhidi yetu, halafu tunapiga hovyo shots zetu, hatuwawekei Chelkenge pressure kwenye box lao wala kuwakaba kwa uhakika.
 
Mpinzani dhaifu halafu sisi tunapata goli moja tunarudisha majeshi nyuma.

My poor team!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…