Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Majeruhi amepata peleyake, Timu nyingine hazina majeruhi?
 
Ninyi pimbi mnajihesabu possible champions ?
Tangu lini. ?
Damn ! ,The audacity ,yaani asenyeli hii hii au asenyeli ya mars ?
Hivi tuwe wakweli tuache unafiki hapo kwenye hiyo pool ya timu zilizobaki mnaweza kutunishiana misuli na nani ? , Kama si kubondwa kama ngoma ?
Barcelona au Bayern ,au atletico au Madrid au Inter ?
Msidhani mnacheza na Southampton au Everton , leo tu penyewe mnaweza fumuliwa vibaya na hao wahuni toka Uholanzi
 
Dalili zilishaanza kuonekana tangu j3 mazoezini Salah na Arnold walitaka kuzichapa...mpk nikajiuliza wanagombea nn Hawa jamaa kumbe walikuwa wanaona kinachowajia....wale PSG sio watu wazuri aisee
 
Wikiendi tuna mechi na nyny jirani....habari za PSV achana nazo wale tutawapelekea under 16 wacheze nao ndo level yao
 
tetea kasema ana bet asenyoz kushinda Epl+ Ucl
Kocha anaweza ongea lolote.

Ni mashabiki wa nyumbu tu ndiyo hua hawachambui wanachosikia, ila Arsenal tunajitahidi kuchambua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…