Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu top scorer ana goli tisa halafu mnataka ubingwa acheni bangi aseee
 
Attachments

  • Screenshot_20250204_172002_Opera GX.jpg
    161.3 KB · Views: 16
Angekuwepo Masingeli humu angekuja na zile habari zake za Supa Kompyuta inasema leo Tunampiga Nyukesto goli 4-0 halafu msimu huu Supa Kompyuta inaonesha tunabeba Yuefa.
Ngeli ni konyo sana yule mtu, toka amekimbia humu jukwaa limepoaa kama mchuzi wa nyoka uliokosa chumvi
 
Hao mijusi milia lazima watueleze leo ilikuwaje kuwaje wakatufunga zile mbili. Tutawapiga mpaka tuwahurumie.
 
Naona bodi inaendelea kuweka ngumu kwenye kusajili straika, ila kocha anaendelea kupambana kwa uwezo wake

Nafasi tatu zinapelea kwa sasa tukikamilisha izo, mwakani insha'Allah bila injuries tunabeba quadruple

Rw/Lw
Back up ya Saliba
Striker
 
Kipigo kapewa City ila milio inatoka kuanzia unyumbuni hadi kwa ndugu zao ukengeni

Badala watu wafanye analysis ya Arteta's Tactical Masterclass against Pep, wao wanajadili kuhusu ushangiliaji wa wachezaji
 
View attachment 3226332
Gary Neville na Carragher wanaongoza hilo boti la wajinga.

Alisema ni utani mzuri Haaland kumpiga na mpira Gabriel baada ya kuscore.

Ila akasema ni ukosefu wa heshima Gabriel kushangilia mbele ya Haaland baada ya kuscore.

Wajinga ni wengi
 
Neville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…