Nimechungulia matokeo nilipata 59 lakini ukiniletea mtihani sasa hivi nitapata 0-10Kikubwa uli fika ππ, ko macho yako yali kuwa ka CCTV
Tuko sambamba na Manyumbu kuwasagia kunguni mpaka wamalize nafasi wanayostahili, yaani ile ya 17.Ili hesabu zikae sawa inabidi leo kenge apigwe na Westham.
Next match nyumbu anacheza na spurs. Hii game spurs atashinda.
Nafasi ya 17 itafikiwa tu
Kuna Jamaa ali angalizia, aka copy hadi jina π€£π.Nimechungulia matokeo nilipata 59 lakini ukiniletea mtihani sasa hivi nitapata 0-10
Kwa kweli huyo jamaa hapana.Bado haifanyi awe mchezaji wa maana, bado kai ni kiazi tu, sijawahi tengua hii kauli, hata afunge hat-trick
Hata 3 sawa, ila wasifanye ujinga kumuacha. Unaonekana msimu huu ule mzimu wake wa majeraha unampitia mbali kidogo. God forbid.Tumekuja mkuuπ€£π€£π€£....Arteta aandikiwe barua rasmi ailazimishe bodi imuongezee Partey mikazo mkataba wa miaka 2 na option ya mwaka mmoja....yule jamaa akiondoka tutamkumbuka sana
Bado haifanyi awe mchezaji wa maana, bado kai ni kiazi tu, sijawahi tengua hii kauli, hata afunge hat-trick
Economics hiyo ya Prof Osoro.Kila nikiuona huu uzi, macho yangu yanatua kwenye jina la muanzisha uzi "game theory"
Siachi kufikiria jinsi hili somo lilivyonitesa.
Wahuni hata marudio ya lile tukio (replay) hawakufanya. Ilipita kama ilivyoAngekuwa mchezaji wa Arsenal amecheza vile, unadhani nini kingetokea?
Na wewe umeisoma?Economics hiyo ya Prof Osoro.
Ndiyo, unajua mchezo wa uchumi unachezwa kama wa Fizikia, japo Fizikia ina uhalisia zaidi.Na wewe umeisoma?
Watu wa physics nao wanaisoma kumbe?Ndiyo, unajua mchezo wa uchumi unachezwa kama wa Fizikia, japo Fizikia ina uhalisia zaidi.
Hapana, nazungumzia zinavyofanana kwenye theories.Watu wa physics nao wanaisoma kumbe?
magoli ya saka haya
Arsenoooooo, we are the gunnerssss.
Sasa mtoe kipo do hicho hicho kwa hawa man utd, tena hao piga ata 7
Arsenooooo bwana. Ila man utd mie nashindwa elewa mbona siku ile mechi ya liverpool na hii ya arseno walipbana kweli kweli.Mzabzab mzee wa mbususu mambo yangekua ni rahisi kihivyo Man Utd mngempiga hizo 7 kwenye FA walivyocheza pungufu kwa zaidi ya dakika 60 baada ya Dolot kulimwa kadi nyekundu.
Matokeo yake Man Utd wakiwa pungufu waliwafurusha kwenye michuano kwa Aggregate ya goli 6-4 hapohapo kwenye dimba lenu la Emirates. View attachment 3223526
vipi usajili??Kesho kutwa tuna Carabao na Newcastle
Chances very slim unless we buy a release clausevipi usajili??