Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaambiwa Michael Oliver maishani mwake amaetoa red cards nyingi kwa Arsenal kuliko timu yoyote.

Hapa yupo kwenye majukumu yake ya kila siku.
Screenshot_2025-01-26-13-53-56-783_com.twitter.android-edit.jpg
 
Watu wengi walifikiria kama mimi. Kwamba ile red ni kwaajili ya DOGSO ila refa anasema dangerous play.

Dangerous play kivipi pale? Kwasababu ni professional foul kuzuia counter ila mwana kasema hapana ngoja niwaonyeshe
 
Msikose big matches in less than one hour. Ni Chelsea vs Arsenal women to be streamed by Canal +, Azam and Dstv
 
Back
Top Bottom