😀😀😀 Kama mshabiki, Kuna kipindi inabidi uyamwage tu ya moyoni pasipo kujali yana make sense au laa.Arsenal fan anawezaje kuongea maneno kama haya?
Police are investigating "threats and abuse" directed at referee Michael Oliver following Arsenal's game against Wolves on Saturday, the PGMOL has said.Baada ya vitisho na abuse kwa mke wa Kai Arteta came forward na kusema tunatarajia kusajili.
Nikasema hii ni plan ya kutuliza mashabiki. Leo ni tarehe 27 kila akiulizwa yeye anasema wanafanya assessment.
Kutokua serious ni kwingi
Huyo jamaa miyeyusho sana. Mpo kwenye mwendo vile utamkwatua vipi bila mguu kuwa high?He claims that Skelly's foot was high
Yaani hilo teja ni lakulisikiliza kweli?
can't work! Ø hana ubavu wa kucheza kama #10
#10/ SS mambo ya kina Zidanecan't work! Ø hana ubavu wa kucheza kama #10
Jibu simple, Odegaard angeutuliza na kuanza ku turn left and rightSwali langu kwa yeyote hapa ndani.
Ule mpira ambao Calafiori amescore jana Kai angeuunganisha kama ulivyo? Martinelli? Saka? Trossard? Odegaard? Unahisi nani angeuunganisha kati ya hawa?
Au kati ya hawa nani angeutuliza ili aanze back passes?
Calafiori hata goli alilowafunga City lilikua kwa mtindo huu huu.
Girona inamtaka ili aje auzwe City, na club nyingine nimesahau ila juzi niliona sehemu wanasema kawachomolea City kafocus na ArsenalCastr huyu dogo Nypan una taarifa zake?
Kwanini? Naona ana footwork nzuri, skills na pia anakua na back up ya Rice na Merinocan't work! Ø hana ubavu wa kucheza kama #10
Kocha hii janja2 sana.Baada ya vitisho na abuse kwa mke wa Kai Arteta came forward na kusema tunatarajia kusajili.
Nikasema hii ni plan ya kutuliza mashabiki. Leo ni tarehe 27 kila akiulizwa yeye anasema wanafanya assessment.
Kutokua serious ni kwingi