Hii documented stats inaonyesha idadi ya mechi ambazo Michael Oliver kachezesha timu zote.
Kwa timu ambazo kachezesha kuanzia mechi 50 ni Arsenal pekee ndiyo ina yellow nyingi na red nyingi kutoka kwake. Pia ameitisha faulo nyingi dhidi ya Arsenal kuliko timu zingine.
Michael Oliver ametoa penalty nyingi dhidi ya Arsenal kuliko in favour of Arsenal. Arsenal ilicheza na City Kovacic akatakiwa kugewa yellow ya pili ili iwe red ila Michael Oliver hakutoa red akasema ni kwakua hataki kuathiri mechi negatively.
Same scenario ikaenda kwa Doku.
Kisha akampa second yellow Rice na kuaffect game negatively. Juzi akampa Myles red, kisha second half maamuzi mengi yalikua in favour of Arsenal. Online inasemwa ni kwakua alijua ile red ame-mess up.
Enjoy the stats
View attachment 3216194