Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Wewe ndio MJINGA wa mwisho kama sio wa kwanza.
Kampa Man U red card, Kakupa penalt ukakosa unataka akupe nini tena, matako!
 
Washika manati πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Wanangu mm mtu wa ball dimba la Kati huwa wananiita Steven gereld sasa iv wananiita urgate

Nawaambia kimpira kabisa decline mchele sio mido ile hakuna kombe mtabeba kwa kutegemea kiungo dhaifu km yule

Wakings nyie mnaniumizia baby wangu tuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Arsenyo huyu jamaa yenu leo mmemuangusha sana, nahisi yeye leo ndio ameumia kuliko shabiki yoyote wa Arsenyo.
Siku nyingi mkiwa mnabebwa jitahidini mbebeke Kima nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…