Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,938
- 5,592
Kuna tactic nimeiona game ya leo ya Newcastle kukaba kwa swarming. Hii tactic waliitumia sana nyumbu kipindi cha Erik Kichwa ngumu.
Hii tactic pia ndiyo nyumbu waliitumia ikabidi tuwafunge kwa kona.
Ikatokea nyumbu wakaona kosa lao na kuemploy tena swarming basi hiyo tarehe 12 tuna kazi pia.
Mtoano haunq pointsUshindwe kumfunga Newcastle nyumbani kwenu utegemee utamfunga kwake?
Leo akishajihakikishia points zake 3 huko St. James' Park atakua anatafuta draw tu.
Kuna watu hawajui kama hii game ina two legs?
sioni tuki mpiga Newcastle kwake 3-0Kuna watu hawajui kama hii game ina two legs?
UNasema kweli mkuu...?πChanges ndogo sana
Newcastle atakufa tu, hakuna namna
Mtu wa hovyo mwingine huyuChanges ndogo sana
Newcastle atakufa tu, hakuna namna
Kuna watu hawajui kama hii game ina two legs?
Sasa hawa mijusi akina Labyrinth wanatupiga kwetu, kwao tutawaweza kweli?
Huyu pimbi nae aondoke kwakweliView attachment 3195462
Tukumbushane tu msimu wa 6 huu miaka 5 without trophy β¦.. Trust phase and process
Hamna timu mle.Uwezo wa timu hii kushindania makombe unatia shaka
Kocha mjinga mjinga yule.Bado kidogo, tutaanza kuhoji uwezo wa kocha